Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,270
Wanataka kuukimbia muziki wa Chadema Arusha. Ameshuhudia live kwa macho yake jinsi wananchi walivyojitokeza kwa wingi kusikiliza kesi na baadae wakimshangilia kwa nguvu sana ''mbunge'' wao Lema.
Kama ni majukumu mengine kuingiliana kwanini wasiyafanyie Arusha? Kwanini shughuli ya Arusha ndio ihamie Dar?
Watashindana lakini hawatashinda, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu