Chances of a man winning an argument.

Kamaka

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
563
33
Wadau hii ni kweli?kuna chansi?
 

Attachments

  • chances.doc
    26.5 KB · Views: 77
Ni kweli!

I can prove to you!

Hoja moja Mkeo anaweza kuileta mkaijadili kati sura tofauti zaidi ya mara moja na hapa ndipo wanapotuweza kwa kuwa siye si watu wa maneno mengi tunakubali yaishe.
 
nilisoma mahali kwamba, Women always win an argument because they get prepared to it lol :lalala:
 
I can imagine that, kwamba "ngoja leo huyu baba andunje atanitambua yaani mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani na pesa ya mboga hakuacha :blah::argue:" sio wote jamani wengine ni wapole just like me teh teh!!!!
 
wanaume wana kawaid aya kutoa' ushindi wa mezani'

y anini malumbano y anini maneno.........so kuepusha msongamano wanaamua kutuambia 'haya umeshinda wewe'
 
Oversimplification hiyo.

Kuna mahusiano ya kimagharibi na ya kimashariki, hata huko magharibi na mashariki kuna mahusiano ya wasomi na wasiosoma, wasomi na wasomi na wasiosoma na wasiosoma, pia kuna mgawanyiko wa watu wa mijini na wa mashambani, halafu kuna wahafidhina na waendelevu.

Huwezi kuniambia wote wanafuata chart hiyo moja, hata price theory hiko hivyo clearcut.
 
Back
Top Bottom