CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Mchezaji wa senegal no. 19 mgongoni analamba kadi ya njano. Nadhani wa pili huyo sasa. TZ bado hakuna kadi.
 
walikuwa watulambe la pili. Bahati nzuri Dihile kaunyaka kifundi. Lo, na jamaa kaotea pia.
 
Shadow,

Tatizo nilionalo kwa Tanzania ni mipira ya juu. Chini walau tunaweza lakini juu dah, jamaa zetu wafupi sana!

Invisible,

Kweli inabidi basi tuweke mpira chini. Mwanzoni mwa gemu Ngassa alianza vizuri sana kuwatesa mabeki wa senegal. Tukiweka mpira chini hawa jamaa tunawafunga. Tukisawazisha najua kabisa wataanza kupwaya!
 
Wabongo tunapenda kweli timu yetu ya Taifa...:)

Currently Active Users Viewing This Thread: 78 (26 members and 52 guests)
Bubu Ataka Kusema, Akthoo, Alpha, Amwanga, Bantugbro, BelindaJacob, Ben, Chuma, First Lady, Hofstede, Jibaba Bonge, Kilakshari, Masanilo, mujuni2, Mwazange, Njimba Nsalilwe, Nurujamii+, PingPong, Shadow, share, Shy, Songambele, Tiba, varahala, Wandugu Masanja, Yo Yo
 
Invisible,

Kweli inabidi basi tuweke mpira chini. Mwanzoni mwa gemu Ngassa alianza vizuri sana kuwatesa mabeki wa senegal. Tukiweka mpira chini hawa jamaa tunawafunga. Tukisawazisha najua kabisa wataanza kupwaya!
Dah,

Ushabiki mbaya sana... Mpira ukielekea Stars roho inaniuma kwelikweli.

Najipa moyo, tutashinda tuuu
 
Back
Top Bottom