Champions League kuonekana Startime

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,892
31,098
Wakuu nimekutana na wadau wa mpira wamenihabarisha leo na kesho king'amuzi cha startime wataonyesha ligi ya mabingwa Ulaya.Wenye king'amuzi msipate taabu tupieni macho KBC mtaone mechi bila chenga.

Mashemeji zangu msikubali kamba wala visingizio toka kwa minjemba yenu kwamba naenda kuangalia mechi bar wakatalieni kabisa.
 
acha unoko wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom