Champeta from Colombia sisi twasema SOUKOUS music.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,060
Duu wapenzi wa miziki,

Nilikuwa sifahamu kuwa kumbe Colombia mziki wa Congo na nchi nyingine unapendwa sana na kisa hasa ni kuwa hawa jamaa na wao wana Soukous yao wanaiita Champeta. Mengi siandiki ila angalia mwenyewe/Sikiliza mwenyewe.


 
Last edited by a moderator:
Hata bibie SHAKIRA kaamua kuchukua wimbo wa zamani wa Cameroon uitwao ZANGAREWA na kuupiga. Naona utakuwa wimbo wa FIFA world Cup South Africa.




Original song uko hapa chini: (Uvute ili uanzie 0:50).


Kwa wale wazee kama mie hapa, basi watakuwa wanaukumbuka huu wimbo.
 
Last edited by a moderator:
Bibie kama kawaida yake, huwa akifanya wimbo wa biashara kwa kuimba Kiingereza, huwa lazima awakumbuke na Amigo / Mariachi wake huko America ya Kusini. Hapa anakuja na wimbo wake huo huo ila kwa Ki-Spanish. Haya mapigo ya CHAMPETA hayo.....

 
Last edited by a moderator:
Nimekuja tena. Katika pekua pekua nyimbo, nimekutana na wimbo wa Tabora Jazz wa dada Asha ukipigwa na Wa-COlumbia katika huo mtindo wa CHAMPETA. Kama huamini basi hebu sikiliza Dada ASHA ikitesa Columbia kwa Ki-SPANISH. Sijui hata wapigaji wa zamani wanafahamu kuwa huu wimbo wao umefika Columbia................

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom