Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,432
- Thread starter
- #41
We umetumwa, eti?
Wale waliofukuzwa ndio watu waliokuwa answerable, sasa we ulidhani wao kazi yao ilikuwa nini?
Nukuu
"Rais Kikwete alisema kuanzia sasa mawaziri wanapowajibishwa ni lazima walioshiriki kuwafikisha hapo nao wawajibishwe."
Aliwataja wahusika kwenye kuwajibishwa huko kuwa ni makatibu wakuu, wakurugenzi, menejimenti na bodi za mashirika, idara na taasisi zote za Serikali.