Chambua picha hii ( photograph interpratation)

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu hii picha kwa wale tunaokumbua au tuliosma kanumbas ezni zile za sokodnary kwenye mtihani wa gegrapgy kulikuwa na swali la Photograph and map interpration. Lilikuwa lina masi 40 ama sikosei

So kwa kutumia knowledge ya elimu ile tunaweza kuichmabua picha hii kisisa, kicuchumi. kiviwanda na kiteknolojia etc
GO9G3239.jpg

Mimi najiuliza maswali haya

  • Je ikulu kuna hata kinyago kilichochongwa na mtazania??
  • Je hata hizo picha za ukutani ni kazi ya wasanii gani wa hapa Tanzania
  • Suti aliyovaa rais wetu imetengenezwa na Desinger gani i
  • Kuhusu sofa, milango umetumika mpingo au mninga wa tabora au wa wapi ?
I mean is there anything made in tanzania by Tanzanian? mimi naona hakuna. na ni aibuuuu

Limit of interpratation is yours

Nawasilisha
 
Mtazamaji,'
Nadhani umehukumu mapema. Milango nahisi ni mbao za Kitanzania na mchongo wake huenda ukawa wa Kizanzibari, sina hakika lakini. Kumbuka Ikulu ilijengwa na Mwingereza, sidhani wakati huo angesafirisha mbao kutoka Ulaya wakati mbao zimejaa Tanganyika. Hiyo ya fenicha na picha nawaachia wataalamu.
 
Na mwekaji picha inawezekana labda hapo sio tanzania kabisa...
 
na kingine mbona(jk) anaonekana hajiamini au alikuwa anataka kumpiga kizinga nini(kukopa)..
 
Kama vile wanazungumza kwenye macho.." umekuja kukamilisha kile tulichoongea kipindi kilee...don let me down brother"
Hizo picha na furniture zote za bongo ila hilo carpet made in Thailand..Suti ya raisi imetoka ughaibuni pasipo shaka huenda ikawa matoleo ya Giovanni Gucci
 
Mimi mnisaidie kitu kimoja, kwa nini JK kila akisalimia anakaa kiupande upande? mara nyingi akitoa mkono hawi straight bali anatoka kwa kukaa upande. Ni sababu gani hasa?
 
Mimi mnisaidie kitu kimoja, kwa nini JK kila akisalimia anakaa kiupande upande? mara nyingi akitoa mkono hawi straight bali anatoka kwa kukaa upande. Ni sababu gani hasa?

Maelekezo ya kiusalama na kinyota zaidi, alipewa long na Sheikh Yahya Husein, mnajimu mkuu wa nyota EA
 
Hizo furniture za bongo.apambe ikulu kwani ataishi milele?mi nataka kuona za nyumbani kwake .unaweza kukuta kokoto imetoka marekani.huyu presidaa nilikuwa namwaminia sana ila sasa napata wasiwasi
 
Mimi mnisaidie kitu kimoja, kwa nini JK kila akisalimia anakaa kiupande upande? mara nyingi akitoa mkono hawi straight bali anatoka kwa kukaa upande. Ni sababu gani hasa?

Wakuu hii picha kwa wale tunaokumbua au tuliosma kanumbas ezni zile za sokodnary kwenye mtihani wa gegrapgy kulikuwa na swali la Photograph and map interpration. Lilikuwa lina masi 40 ama sikosei

So kwa kutumia knowledge ya elimu ile tunaweza kuichmabua picha hii kisisa, kicuchumi. kiviwanda na kiteknolojia etc
GO9G3239.jpg

Mimi najiuliza maswali haya

  • Je ikulu kuna hata kinyago kilichochongwa na mtazania??
  • Je hata hizo picha za ukutani ni kazi ya wasanii gani wa hapa Tanzania
  • Suti aliyovaa rais wetu imetengenezwa na Desinger gani i
  • Kuhusu sofa, milango umetumika mpingo au mninga wa tabora au wa wapi ?
I mean is there anything made in tanzania by Tanzanian? mimi naona hakuna. na ni aibuuuu

Limit of interpratation is yours

Nawasilisha

bila utani yawezekana ni lile tatizo lake la kudondoka maana kuna mzee nilikuwa na mfahamu hata kugeuka alikuwa anatumia upande wa kulia tu, kama anataka kugeuka nyuma na kupitia upande wa kushoto lazima ahanguke.
nadhani madoctor (physician) wanalijua suhala ili.
anywa sina maana hii ni sababu pekee inayomdondosha chini mara nyingi ila anaweza kuwa na tatizo la balance kwa jinsi nilivyomsoma.
hii inaweza kukupa kama una issue kwenye uti wa mgongo au uliwai kuna issue kwenye uti wa mgongo
 
Naona wanapeana Salamu za ki freemason
Cheki picha ya katikatina jamaa walivoshikana
acodex_64.jpg
 
Ukweli ni kwamba wasaidizi wa Mzee (watu wa protocol) ndiyo nawalaumu zaidi. Unavyoona jamaangu hajiamini ni kwa huyo anayesalimiana naye ni yule jamaa pandikizi la wezi wa watanzania aliyejidai ameinunua dudumizi dowans.

Watu wa protocol sa nyingine inapaswa waangalie wanayemkaribiisha Ikulu na hali ya sias pamoja mtu mwenyewe si kila mzungu Ikulu kunani?
 
hujawahi kuingia ikulu that is why unajiuliza maswali kama hayo, yote uliyo uliza ndivyo yalivyo, palipo oneshwa ni sehem ndogo mno ya ikulu, vinyago vipo, simba wa kukaushwa wapo, then kumbuka ikulu ni jengo la toka enzi za mjerumani akiwa tz, unadhani walitoa milango na vingine wapi kama siyo tz? na research no right to peak.
 
kila coment hapa imenifanya nirud juu nakutazama tena picha! mi sina coment meng yashasemwa, ila napenda kuongeza kuwa jk ni mkarim kwa wagen kila mgen akienda ikulu watasalimiana watapiga picha, ivi nch nyingine m2 kama dogo janja angeweza kwenda ikulu kupiga picha na prezidaa? big up jk
 
Mtazamaji,'
Nadhani umehukumu mapema. Milango nahisi ni mbao za Kitanzania na mchongo wake huenda ukawa wa Kizanzibari, sina hakika lakini. Kumbuka Ikulu ilijengwa na Mwingereza, sidhani wakati huo angesafirisha mbao kutoka Ulaya wakati mbao zimejaa Tanganyika. Hiyo ya fenicha na picha nawaachia wataalamu.

mwingileza alichoacha pale ikuru leo hii hakuna hata kimoja,sasa hv wana import vitu from abroad baasi,iyo ikuru inalekebishwa kilamala.
 
Back
Top Bottom