Chama tawala kweli mna mambo!

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Siku zote najiuliza lakini sipati majibu nisaidieni wa JF, hivi hawa sisiem kwanini walitumia mafweza meengi sana kwenye uchaguzi uliopita huku wakijua wana uwezo mkubwa wa kuchakachua matokeo ? Mi naona wangefanya kampeini za kawaida tu halafu mwisho wachakachue kama kawaida na tusingekuwa na wakati mgumu kifedha kama ilivyo sasa.
 
Ukitaka kumwibia mtu lazima uanzie mbali ili kama akili yake finyu asishitukie, ila bahati mbaya watanzania wameshitukia huo wizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom