Chama tawala kilipotufikisha............... ..stess everywhere

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
560974_10150898944927327_1086193388_n.jpg
 
Acha ujinga wako, we kwani huoni kuwa mtoto anakula faida ya mama/baba yake?!
 
mh makubwa jamani nimeshangaa kweli, asubuhi yote hii, kwa staili hii lazima mapato ya vinywaji yawe juu zaidi ya zile sekta muhimu, taifa la kesho jamani dah, ngoja nikalale maana naona kasi ya dot com siiwezi hata kidogo
 
Bujibuji naona unakionea chama tawala,shida ni wazazi za siku izi wapo very iresponsible,tena wengine ndo wanawafundisha watoto wao ulevi
 
Nahisi atakuwa tu amemshikia baba yake, kwa bahati mbaya akapitiwa na usingizi.
 
Back
Top Bottom