Chama tawala ambacho si tawala

mnazi kipemba

Member
Apr 2, 2012
48
10
wanajamvi,huu ni mwaka wa uchaguzi kwa chama tawala...maeneo ya mtukula mpakani mwa tz na uganda...gari la matangazo liinapita kuwaomba wanachama kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali ngazi ya shina na matawi...raia hawana habari kabisaa,wanaendelea na mambo yao....my take: viongozi wa juu huku chini chama chenu kimekufa...sosi - mimi mwenyewe.
 
Mimi nipo Musoma yaani ni kituko kitupu, jamaa wamekataa na hawakujitokeza kabisaa na wanasema 'na bado' yaani ni raha tupu,
 
Hata kwetu watu wanaendelea na shughuli zao maisha magumu hawana muda tena na chamacha mafisadi
 
watawapitisha waliopo bila ya kupingwa. mengineyo mbele kwa mbele. upepo utatulia tu!
 
Back
Top Bottom