Chama kisicho na matabaka ya udini na ukabila ni ccm tatizo ni ufisadi.

Kaka mie chadema damu tena kuliko wewe lakini kuna vitu lazima tujifunze, sio kila kilichoko CCM ni kibaya, kama ni hivyo basi hata akina slaa nao ni wabaya kwa sababu wametoka ccm, Mie sipendi kuona kuna maneno ya kijinga kamma ya shibuda yanayohusu ukabila na pia maneno ya wengine ya kudai chadema ni chama cha kanisa. mie ni mkatoliki na nina hasira kubwa kwa yaliyotokea zanzibar, ukifuata topics zangu utaona, mie binafsi sipendi huu muungano na watu ambao hawana akili timamu kila kukicha kelele. lakini ili chadema kiwe chama bora inabidi watumie mbinu za nyerere za kutoupa ukabila na udini nafasi ya kuzungumziwa ndani ya chama na hii ndio silaha kubwa itakayoifanya chadema ichukue nchi 2015

Kama wewe kweli ni mwanachadema nakupa BRAVO!!!!

umesema ukweli dhahiri na usio na chenga!! big up mzalendo
 
wewe ni mwoga wa kusema ukweli au ni mapenzi yako kwa ccm CHADEMA hakuna udini ila giliba za CCM ila tayari watanzania wanajua hakuna wa kurudi nyuma kwa sasa jenga hoja yenye mashiko watua wamechoka hawarudi nyuma wanatafuta matumaini yanapopatikana
 
Kinachotugharimu watz siku zote ni kutaka kuyasikia yale tunayoyapenda na kuamini tu.Hivyo ni vigumu kuendelea kwani unapofika wakati wa matatizo tunashindwa kuyatatua kwani tunakuwa tayari tuliupuuzia ukweli ambao hatukupenda kuusikia.Mi kama Mwana CHADEMA naamini hata moto wa mpumbavu huotwa,hivyo thread hii naichukua kama changamoto ambayo chama ni vema ikaifanyia kazi ili kuprove wrong propaganda za magamba.CHADEMA ni chama kinachokua kwa kasi tz nzima,hivyo ni vema makamanda tukawa watu wa kuheshimiana kimawazo na kutafakari namna ya kuia propaganda ya magamba kuhusu udini na ukabila kuliko kubishana wenyewe.TANZANIA NI YETU,CHADEMA NDO TUMAINI LETU,NA NGUVU YA UMMA DAIMA ITASHINDA.
 
Sawa ndugu lakini mie haya ni mawazo yangu na sioni sababu ya wewe kuona sina kitu kichwani, hata kama umeona kuna udini ccm basi utakuwa wa kingunge ambaye hata dini hana. CCM haina udini ni lazima tukubali na kama unadhani kuna udini hebu ni ambie CCM ni ya dini gani??? angalia watendaji wake kuanzia raisi, mawaziri, mabalozi, wakuu wa majeshi, mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mashirika ya umma na mikoa sasa sijui unapata nini hapo. kwa mtu mwenye akili timamu na anayejua kusoma na kuandika lazima atakubaliana nami

Are you serious? Hawa wote ni watendaji wa CCM? Unajua watu wengi wanacrash hoja yako kwa sababu hujaweka data/ ushahidi wa kutosha kuthibitisha madai yako/yenu dhidi ya Chadema. Unapotoa hoja ambayo ni tata jitahidi kuweka facts za kutosha la sivyo utaonekana mbabaishaji. Madai ni kitu kimoja, ushahidi unatokana na utafiti wa kina wa hoja ni kitu kingine
 
chilisosi hoja zako zimejaa utoto na huelewi machungu na madhila wamepitia wanamageuzi wa nchi hii kufikia hapa tulipo.
 
Ndugu zanguni
Nimeangalia kwa ukaribu sana na kugundua kuwa ni chama kimoja tu ambacho kina mchanganyiko wenye uwiano unaokubalika na taiafa zima lakini tatizo ni ufisadi ndio unakibomoa hiki chama. Kikwete anajitahidi sana lakinin watendaji ndio wanamuangusha kama akina chami, ekelege , maige nk
Hili ni tatizo kubwa ambalo wapinzani ndio wanatumia udhaifu huu kupata washabiki. mie binafsi nakipenda sana chadema lakini nimegundua kuna matatizo yanayojitokeza ya hapa na pale ambayo ningewashauri wayafanyie kazi haraka sana.
Kuna tatizo linalosemwa la ukabila amabalo sio la kupuuzia kwa sababu lisemwalo lipo
Wengine wamekuwa wakikiita chama cha wakristo hapa ningewaomba wajitafutie wanachama wengi kutoka dini zote na kugawa madaraka yenye uwiano sawa kwa watu kutoka makabila yote na dini zote ili iwe kama CCM
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI. CCM HAKUNA UKABILA WALA UDINI.
Na inabidi vyama vingine viige huu mfano.
Hebu anagalia Kikwete muisilam na baraza lake la mawaziri.
Unazani rais angekuwa sefu sharifu mandevu baraza lingekaaje?

Unafahamu maana ya Nepotism? Nenda CCM
 
CHADEMA= udini+ukabila+ukanda+ubaguzi+utapeli+uongo+usanii+ufuska+usaliti wa nchi.
"Rais ajaye hawezi kutoka kanda ya kasikazini. Rais ajaye anayemjua ni Rais Kikwete" - Ridhwani Kikwete (ndani ya kikao cha UVCCM, Dodoma). Huo sio ukanda, ukabila na ubaguzi?
 
Ndugu zanguni
Nimeangalia kwa ukaribu sana na kugundua kuwa ni chama kimoja tu ambacho kina mchanganyiko wenye uwiano unaokubalika na taiafa zima lakini tatizo ni ufisadi ndio unakibomoa hiki chama. Kikwete anajitahidi sana lakinin watendaji ndio wanamuangusha kama akina chami, ekelege , maige nk
Hili ni tatizo kubwa ambalo wapinzani ndio wanatumia udhaifu huu kupata washabiki. mie binafsi nakipenda sana chadema lakini nimegundua kuna matatizo yanayojitokeza ya hapa na pale ambayo ningewashauri wayafanyie kazi haraka sana.
Kuna tatizo linalosemwa la ukabila amabalo sio la kupuuzia kwa sababu lisemwalo lipo
Wengine wamekuwa wakikiita chama cha wakristo hapa ningewaomba wajitafutie wanachama wengi kutoka dini zote na kugawa madaraka yenye uwiano sawa kwa watu kutoka makabila yote na dini zote ili iwe kama CCM
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI. CCM HAKUNA UKABILA WALA UDINI.
Na inabidi vyama vingine viige huu mfano.
Hebu anagalia Kikwete muisilam na baraza lake la mawaziri.
Unazani rais angekuwa sefu sharifu mandevu baraza lingekaaje?

kaka mpaka apo unagamba hebu kalivue uvalishwetgwanda
 
hivi alipotoka makamba senior akaingia makamba junior maana yake nini
 
tatizo kubwa nliloliona humu JF kwa wana CDM ni kwamba hawakubali kuaccept challanges wanadhani km ni udhaifu kumbe ni njia ya kujiimarisha.ukiwaambia kitu wanakuja juu woote tena wengine bila hata hoja.CDM inataka kumanage tanzania ila kwa what i believe good manager ni yule anayeaccept challanges km steps to success.ushauri wa ndugu yetu ni wakuufanyia kazi.hivi mnajua CUF imepoteza umaarufu kwa kashfa km hizi za udini?mnajua CDM haina mashabiki ukanda wa kusini wanaamini ni chama cha watu wa kaskazni.take this men...

Usituone ni wajinga kiasi kila ujinga wenu tuuone ni changamoto. Sasa mtu anakwambia CDM kuna udini na ukabila, do you know how to prove that? Nikwamba kuna wa dini zingine au makabila fulani wametaka uongozi wakanyimwa hapo utakuwa ndo utabaka. Mtu anakwambia tu eti sababu wa dini flani ndo wengi kupita wengine '****' kuliko kubishana na huyo mpumbavu ni bora umtukane ajue umemjua kwa hiyo huyu Chilisosi akajipange upya na propaganda zake
 
Ndugu zanguni
Nimeangalia kwa ukaribu sana na kugundua kuwa ni chama kimoja tu ambacho kina mchanganyiko wenye uwiano unaokubalika na taiafa zima lakini tatizo ni ufisadi ndio unakibomoa hiki chama. Kikwete anajitahidi sana lakinin watendaji ndio wanamuangusha kama akina chami, ekelege , maige nk
Hili ni tatizo kubwa ambalo wapinzani ndio wanatumia udhaifu huu kupata washabiki. mie binafsi nakipenda sana chadema lakini nimegundua kuna matatizo yanayojitokeza ya hapa na pale ambayo ningewashauri wayafanyie kazi haraka sana.
Kuna tatizo linalosemwa la ukabila amabalo sio la kupuuzia kwa sababu lisemwalo lipo
Wengine wamekuwa wakikiita chama cha wakristo hapa ningewaomba wajitafutie wanachama wengi kutoka dini zote na kugawa madaraka yenye uwiano sawa kwa watu kutoka makabila yote na dini zote ili iwe kama CCM
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI. CCM HAKUNA UKABILA WALA UDINI.
Na inabidi vyama vingine viige huu mfano.
Hebu anagalia Kikwete muisilam na baraza lake la mawaziri.
Unazani rais angekuwa sefu sharifu mandevu baraza lingekaaje?

Mkuu Chilisosi , kwani chips zimeisha!?
 
Ukabila na udini hauanzi hivi hivi ukiweka undugu na hivyo vitu vinafuata hivi nani alimjua ridhiwani kabla ya baba yake ajashika madaraka,january makamba ametokea wapi,Nape nauye,Mtoto wa mzindakaya ambaye ni mkuu wa wilaya,watoto wa kawawa ambao ni wabunge CCm inachukiwa kwa sababu kimeacha misingi yake iliyokianzisha sasa hivi kuna ugawaji wa vyeo wa kulipa fadhila ndio maana watu kama malima wanaibuliwa na kupewa vyeo,watoto wa Mwinyi,Bilali hatukuwasikia wakati Baba zao hawajashika madaraka makubwa nakubaliana na wewe kuwa kuna baadhi ya vyama vina udini na undugu hata tukiangalia viti maalum vya cdm ila CCm kama chama tawala hakiko safi kwa hilo
 
Wewe ni mgeni Tanzania? CCM unaijua kweli au unasemea kitu kingine? naobna haina haja kubishana na mtu asiyejua anachokisema maana ni sawa na kubishana na mtu kwenye rangi ya damu kuwa sii nyekundu

ingekuwa ni vema zaidi kama ungeweka wazi kuw ahao ccm wameegemea dini gani maana mdau ameweka wazi kuwa cdm wanatajwa kua ni chama cha dini fulani. ingawa binafsi siamini katka hilo iakini naona ipo haja ya kuichunguza dhambi hii ili kama ipo au ina dalili za kuwepo bac ishughulikiwe kabla haijaanza kukitafuna chama
 
Back
Top Bottom