Chama kipya cha siasa, kimekufa?

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Jamani, ni hivi karibuni kulikuwa kuna chama kipya cha siasa kimeanzishwa na mwana JF mmoja maarufu ajiitae MzeeMwanakijiji, alikiri kukisaidia (sikumbuki kivipi). Kama sikosei kinaitwa Acdc, kama nimekosea nisahihisheni.

Nauliza, hiki chama kimekufa utotoni? Sikisikii, si JF wala mitaani.
 
amani ni hivi karibuni kulikuwa kuna chama kipya cha siasa kimeanzisha na baadhi na mwana JF mmoja maarufu ajiitae MzeeMwanakijiji, alikiri kukisaidia (sikumbuki kivipi). Kama sikosei kinaitwa Acdc, kama nimekosea nisahihisheni.

Nauliza, hiki chama kimekufa utotoni? Sikisikii, si JF wala mitaani.
Sasa wewe mwenyewe hata unachokiandika hukijui unataka tukusaidie nini sasa? ni kwa nini usijiandae kabla ya kuleta mada hapa jamvini? chuki hizi kwa Mwanakijiji zinanikumbusha Faiza Foxy.
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe mwenyewe hata unachokiandika hukijui unataka tukusaidie nini sasa? ni kwa nini usijiandae kabla ya kuleta mada hapa jamvini? chuki hizi kwa Mwanakijiji zinanikumbusha Faiza Foxy.

Kama hukijui kaa kimya kama unakijuwa kitaje, chuki hapo ni ipi?
 
Hakijafa ila kimepisha tu hii tsunami ya chadema,kilijiandaa kukabana na vyama kama ccm ila kikashangaa kukutana na flood hii ambayo hawakuitegemea,
 
Hakijafa ila kimepisha tu hii tsunami ya chadema,kilijiandaa kukabana na vyama kama ccm ila kikashangaa kukutana na flood hii ambayo hawakuitegemea,

Mbona mnanichanganya jamani, wapo au wamekufa? sasa hayo mafuriko (flood) wali save?
 
Bado wanatafuta usajili wa kudumu hivyo wanatafuta wanachama ili kutimiza matakwa ya kisheria kwa ajili ya kisajiliwa.
 
Religion hatred FF will kill you, why not Msikiti?

Naona huna cha kusema, why would FF kill me?

It is not Mskiti kwa sababu sijaona Muislaam kwenye hicho chama kilichokufa kabla ya kutambaa. Unless kama wataamuwa kurudi na kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu, why not?
 
mkuu kama unamaanisha ADC basi jamaa wako alive! Juzi jpili nilikua tanga na kwa mara ya kwanza nilihudhuria mkutano wao wa hadhara akiwepo mwenyekiti wao wa taifa Said Miraji. Wanachama wao wengi bado ni wale waliojitoa cuf baada ya Hamadi Rashidi kutimuliwa
 
Taratibu utasikia wanachofanya. Mwenyekiti alishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kitu kizitokichwani. Ili in few weeks utasikia one of the most audacious move ikichukuliwa nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom