Chama kinapowaondoa mashujaa wake: Mbowe, Slaa iweni makini

hapo kwa mrema i beg to differ,.mwinyi hakumpa kile cheo ambacho hata kwenye katiba hakipo(naibu waziri mkuu) kwa uchapa kazi,.alimpa kile cheo baada ya kukamata dhahabu aliyoiba mkewe na kutaka kuisafirisha nje ya nchi,..mrema alipewa fungu lake na hicho cheo akapiga kimya,..chezea mchaga wewe
 
Nimeipenda hii. Unanikumbusha Dr. Slaa alivyoombwa na kulazimishwa kugombea urais. Mashujaa wanajulikana kwa matendo yao na si maneno. Tena hawahesabu wamefanya nini ila watu ndio wanasema kwaajili yao. Shujaa anajulikana haitaji kujitangaza. Watu wanamjua kwa matendo yake na maneno yake. Hawaongei ovyoovyo

Nafasi ya juu kama U-rais ni nafasi nyeti inayohitaji mtu mwenye dhamira ya kuutaka urais,sababu na uwezo wa kumudu nafasi hiyo. Lakini pia kila mwenye kutaka kugombea nafasi hii lazime awe screened na wananchi kujiridhisha kama ana-fit kwenye position. Unafiki wa kusema "ameombwa,amebembelezwa,ili akubali" kugombea ndio chanzo cha kutuletea viongozi wa ovyo kwenye nafasi nyeti. Kama Slaa aliombwa,kama unavyodai,ina maana CDM haina viongozi wenye dhamira,sababu na uwezo wa kuwa Rais.! Kiongozi anayetangaza nia mapema ndie mzalendo wa kweli,anayejiamini ili kuwapa wananchi muda mrefu wa kupima uwezo wake. Imagine Slaa angekuwa rais,wananchi walipewa muda wa kutosha kujiridhisha he was clean to the extent ya kumudu nafasi hiyo.! Tulipewa muda wa kutosha kujua yuko too emotional kwenye sensitive issues,and how about his bad social life and history..yote haya watu hawakuyajua kabla. Mwenye kufaa sio aliyelazimishwa,bali anayejitokeza hadharani mapema..ili tumchimbe,tumchambue,tujiridhishe na kisha tufanye maamuzi sahihi.!
 
Wengi wa TZ wanauwezo mdogo wa kufikiri ndio maana walikataa vyama vingi,ndio maana walimkataa Dr.Salim,tatizo lilianza tu pale ZITTO kuambiwa ajitoa, sasa ule ulikuwa Ushujaa?Mboe akapita bila kupingwa!Slaa alikuwa bungeni kwa miaka 15 lkn mziki wake hatukuuona,mpaka alipoingia (mbishi) ZITTO na kuweka njia kwa damu changa,ushujaa wa kuwateua nduguzenu kuwa wabunge viti maalumu alafu kusini hamkutupa hata kiti kimoja! Ili kuleta sura ya kitaifa.mashujaa hamna nchi hii!,walikufa enzi za mkoloni.tuchaguane afadhaliafadhali tutajuana mbele kwa mbele huko.WENGI wa WACHAGGA sio wazalendo,madaktari ni wao waandisi niwao TRA niwao,biashara kubwakubwa ni wao na UFISADI ni wao,eti na URAISI wanataka?hapana,tunawajua mupo kila tarafa TZ.
 
Hapa naona umeenda nje kwenye ukabila ambao ni dhambi mbaya.
 
Good analysis, umeandika mambo mengi kama si yote ya maana na yenye mashiko. No comment, natumaini wahusika watayafanyia kazi kwa faida ya chama na taifa kwa ujumla. Mwalimu Nyerere angelikuwa hai leo, angesema "Bila CHADEMA IMARA, nchi yetu itayumba"
 
Nadhani uimara wake utategemea Mshikamano utakaolindwa.
 
Good analysis, umeandika mambo mengi kama si yote ya maana na yenye mashiko. No comment, natumaini wahusika watayafanyia kazi kwa faida ya chama na taifa kwa ujumla. Mwalimu Nyerere angelikuwa hai leo, angesema "Bila CHADEMA IMARA, nchi yetu itayumba"

nAKUBALIANA NA WEWE MKUU
 
Back
Top Bottom