Chama/kikundi cha kusaidiana kwenye shida na raha (msiba/sherehe)

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
509
209
Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja na masharti na kila kitu.
 
uko maeneo gani ya tanzania hii? kama utakuwa karibu ntakuunganisha nilipo mimi
 
karibu kemye chama hatuchagui kabiala kujiunga 1,000,000 ndio unakua mwanachama hai
 
napatika dar my dear niko serious please kama uko dar naomba masharti yenu
 
Back
Top Bottom