chama international kila mtu lazima apige hili gwanda

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
DSC03465.JPG
 
Jamaa kapiga kombati, anapambana na njaa na hicho ndicho tunachoamini, karibu kamanda Annan
 
ndg wadau,,,nimejaribu sana bila mafanikio kupata hizi gwanda hasa koti la juu bila mafanikio,,,naomba muongozo kwa kupata izi kitu kwa urahisi,,,
 
Hayo magwanda zamani yakivaliwa na game rangers siku hizo tukiwaita BWANA NYAMA!! Hayo magwanda sio ya combat, ya combat ni kama yale aliyokuwa anavaa marehemu Samora Machel!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom