Chama cha wasiokuwa na ajira

Ni wazo zuri sana wana jamvi..nami ningependa kuongezea kwamba kuna wahitimu wengi na wataaluma mbalimali.ambazo ukichanganya wote inakua team yenye wachezaji wakutosha,je hamuoni kutokana na kuunda team hiyo mwaweza fanya mambo makubwa licha ya kuhimiza ajira,lakini mwaweza kujiari wenyewe kwa umoja wenu endapo mtajuana na kuweka viingilio katika chama chenu,mfano wanao usika namaswala ya kijamii kujiunga nakufanya kazi ambazo ni zakijami kwa kutafuta funs,eng.kuunda chao nakutafuta kazi za ujenzi dogodog,wanasheria kujiunga nakufanya mambo yao bila kusubiria ajira....hata kuchangamana kwa taaluma hizi pia inawezekana kwani mwanajamii hawezi kupewa fedha bila mhasibu,.elimu tuliyo nayo pia iwe msaada kuvumbua yetu binafsi.
wazo tu jamani..
 
Back
Top Bottom