Chama cha Walimu kimekodi wahuni kufanyia fujo ambao hawatagoma

Avanti
Umewafanya watu wote wanaopitia humu hawajui propaganda za chama chenu. Mada yako ime ni bore sana. Sidhani kama nitakuja kukusoma tena. Shame on you
 
Serikali itende haki at list kuwe na equitable distribution ya income btn gvt workers!
 
Hiyo ninaamini kuwa CDM wanahucka kwani kupitia kurasa hii hii walikuwa wakihimiza kufanyika mgomo wa walimu ili kuonekana serekali imeshindwa kuongoza zile zama za kudanganyana zimepita kila kitu sasa kiko wazi
Unaonaje kama ungekwenda chooni ukautolea huu uharo wako huko, kuliko kuudhihirisha ujinga wako kwa kila anayesoma thread hii??
 
Mkuu.. walimu wamepiga kura ya kugoma au kutokugoma.. kura zinazokubali kugoma zikawa nyingi kuliko zinazopinga kugoma, kwa busara kabisa walioshindwa katika kura walipaswa waheshimu walioshinda, na kwa kukiuka utaratibu sahihi na wa wengi wanayo haki ya msingi ya kuadhibiwa, ni waasi kama walivyo waasi wowote, hatuendelei kwa sababu ya wapuuzi kama hao.. TAFADHALI MSIWAPIGE BAKORA, WAVUNJENI MIGUU KABISA ili siku nyingine wapate shida kidogo kwenda kwenye vituo vya kazi wakati wenzao wanadai haki...
 
Back
Top Bottom