Chama cha siasa huwa kinakufa hivi au? inamaana CDM,CUF,TLP na NCCR vimekufa?

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Wandugu tujadili bila jazba ili kuweka maana halisi ya kufa kwa chama cha siasa.

Kwa nionavyomie chama cha siasa kinakufa pale kinapokiuka misingi yake, kukosa support ya mwananchi na kinapopoteza mwelekeo wake. Nafikirir hii ndio maana kubwa ya kufa kwa chama cha siasa.

Tufanye Syria kama case study....hivi chama kinachotawala syria bado hakijafa tuu??ingawa kinatawala...je utawala wa mabavu ni uhai wa chama cha siasa.

Nafikiri kushindwa kwa chama cha siasa kushika dola sio kuwa ndio maana ya kufa kwa chama kama inavyotafsiriwa na waliowengi, CCM ikishindwa kushika dola bado itabakia kama chama cha upinzani na sio kuwa kimekufa mfano ni KANU kenya.

Tujadili.....
 
kwa maelezo yako ya awali ccm ipo kibrah

Toa na sabau kakaa ngudu....maana hata mie naona hivyosasa sijui yanapokuja maneno kuwa wanaosubiri kife (yaani wengi) wataanza wao yanatoka wapi wkt tayari kimeingia kwenye kbrah. Inamaana wengi karibia nchi nzima iliyowanyima ushindi 2010 watakufa kabla ya CCM iliyopo kbrah?
 
sababu ni kuwa kwanza watanzania wameichoka pili ccm hawaishi vituko leo kaka mkubwa kakili chaguzi zao rushwa imetembea sasa nani mwenye akili timam anaweza kumchagua mla rushwa hiyo ni kibrah mbaya zaidi amri jeshi mkuu kashuhudia kisha anacheka badala ya kutoa tamko wakamatwe uoni hiko ni kituko?
 
mi nilipata uchungu wakati kaka mukubwa akilalamika watu kutishiana bastola kisa wapewe madaraka huku anacheka km vile sio issue sana.
 
Toa na sabau kakaa ngudu....maana hata mie naona hivyosasa sijui yanapokuja maneno kuwa wanaosubiri kife (yaani wengi) wataanza wao yanatoka wapi wkt tayari kimeingia kwenye kbrah. Inamaana wengi karibia nchi nzima iliyowanyima ushindi 2010 watakufa kabla ya CCM iliyopo kbrah?
Chinja chinja ndo imeanza - Ally Zona, Mwangosi, n.k.. Wapinzani wa kweli kaeni chonjo, lazima magamba wadhibiti wapinzani wao kwa nguvu ili waendelee kutawala !
 
Back
Top Bottom