Chama Cha Mapinduzi TUKAZE BUTI

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
CCM tutumie matokeo ya kesi ya ubunge wa Igunga kuwa ni changamoto na itupe funzo la kubadili namna ya uendeshaji wa kampeni za uchaguzi pamoja na timu ya kampeni.

Twende na wakati ILI:
1. Tutenganishe nafasi ya kisiasa na kiserikali
2. Raslimali na vyeo vya kiserikali visiwe ni kigezo cha kupatia kura
3. Tutumie vijana walioenda shule katika kuibua makombora ya kushambulia CDM majukwaani
4. Wakati umefika kwa Mwigulu, Nape, Lusinde kuachwa kutumika wakati wa kampeni
5. Tuepuke kutumia viongozi wa BAKWATA (Masheikh) kwa vile waislam walio wengi hawana mshiko na BAKWATA

Mwisho uchaguzi ndani ya chama mwaka huu, utumike kuwapata viongozi wenye dhamira ya kurudisha imani kwa wananchi na si vinginevyo.
 
May be no. 4 &5 can sound a little bit but no. 3 is next impossible because there is no any educated Tanzanian youth including me who is ready to support these stupid behaviors of CCM. May be Rage's son & Riz1.
 
Hata hao pia elimu yao niya vyeti they are not competitive
 
MAFILILI

Una moyo mgumu kama chuma cha pua, Ngoja wale jamaa wa upande uleeeeeee!waje utajuta kuanzisha huu uzi.
 
Last edited by a moderator:
MAFILILI

I think the only thing that CCM can start doing right now is to get prepared mentally and psychologically to become an opposition party;this is the only piece of advice for them. It is too late for them to catch the train.
 
Last edited by a moderator:
Uliyoyasema ccm wanayajua sema tatizo wamejiweka zaidi jinsi ya kuwaharibia CDM ili wakose mvuto kwa wananchi badala ya kupambana nao kwakutimiza ahadi zao pamoja na kuboresha maisha ya kila Mtz pamoja na uchumi ambayo hii ndo itakayowang'oa madarakani
 
Mkuu MAFILILI umenena. Hata hivyo, tatizo la CCM sio wasomi, kwani wamejaa humo tele; akina Mwigulu wana First Class in Economics, Nape ana Masters; humo wamejaa ma-Profesor na ma-Doctor kibao kuanzia Mwenyekiti.

Tatizo kuu la hiki chama ni UKOSEFU WA MAADILI ya uongozi uliozaa UFISADI na ULEVI wa madaraka kupindukia kiasi kwamba hata viongozi wachanga (vijana) wanaoinukia ndani ya chama tayari nao wameoza kimaadili wakichagizwa na minyukano ya mitandao ya aibu ndani ya chama.

Na kwa hakika haiwezekani kuibadili CCM ya leo irudi katika mstari wake katika kizazi hiki cha aibu ambacho chama "kimejitungia mimba na kujizalisha" chenyewe. Ukilazimisha hilo litokee (nadhani kimantiki ndivyo unavyoshauri) nchi itaingia matatizoni; hivyo la msingi ni kuiacha tu CCM ife taratibu kifo cha kawaida na hii ndiyo itakuwa salama ya nchi yetu.

My friend! for ccm to change its impossible because what they doing now is to uproot what they have planted since colonial because they know its time to death is approaching. You have good ideas but from what i know, ccm never change until to be killed by the only civilians who get it into the power. LET THEM DIE WHILE ARE BREATHING.
 
It sounds 'Mafilili' indeed! Are you talking of resurrection after three days? Never; just cry on the tomb!
 
Maendeleo ya kweli ya nchi inategemea ustawi na uimara wa CCM, ikumbukwe CCM ni chama pekee chenye mizizi toka kaskazini hadi kusini, mashariki mpaka magharibi. Watz kwetu sote CCM ni mlezi wa mageuzi, tusishahau TULIKOTOKA!!! CDM ni mvua ya msimu tusibweteke nacho!!!

KIFO CHA CCM NI KURUDISHA NYUMA JITIHADA ZA WATZ KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFKRA
 
I think the only thing that CCM can start doing right nowis to get prepared mentally and psychologically to become an opposition party;this is the only piece of advice for them. It is too late for them to catch thetrain.
Walk the talk.
Breakthrough for the Gambaz, major opposition party!
 
Mafilili bado yuko kwenye denial just like viongozi wake na Kikwete inclusive
 
images
kafumu1.jpg
 
Mleta mada umejitahidi ila Namsubiri mkuu Ritz atoe maoni nitarudi baadae
 
mafilili

i think the only thing that ccm can start doing right now is to get prepared mentally and psychologically to become an opposition party;this is the only piece of advice for them. It is too late for them to catch the train.

nimeipenda hii ni sahihi sana, na hili tuwashinde kwa kishindo wamsimamishe fisadi el. Lkn wajiandae chama chao kufa kwani ugonvi utakao fuata baada ya kushindwa na cdm ni deadly
 
Last edited by a moderator:
Maendeleo ya kweli ya nchi inategemea ustawi na uimara wa CCM, ikumbukwe CCM ni chama pekee chenye mizizi toka kaskazini hadi kusini, mashariki mpaka magharibi. Watz kwetu sote CCM ni mlezi wa mageuzi, tusishahau TULIKOTOKA!!! CDM ni mvua ya msimu tusibweteke nacho!!!

KIFO CHA CCM NI KURUDISHA NYUMA JITIHADA ZA WATZ KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFKRA
Mwanzoni ulionekana ukiongea kama mtu mwenye busara, lakini kwa hili la sasa unaongea kama mwenda wazimu.
 
Uliyoyasema ccm wanayajua sema tatizo wamejiweka zaidi jinsi ya kuwaharibia CDM ili wakose mvuto kwa wananchi badala ya kupambana nao kwakutimiza ahadi zao pamoja na kuboresha maisha ya kila Mtz pamoja na uchumi ambayo hii ndo itakayowang'oa madarakani

Well said
 
Back
Top Bottom