Chama cha mapinduzi kweli kimewapindua wananchi wake na taifa lao

Mdomo Mwepesi

Member
Apr 19, 2011
67
93
Ni masikitiko kwa jinsi CCM ilivyowapindua wananchi wake na taifa lao kwa kuwafanya:
1: kuwa taifa lenye njaa miaka nenda rudi
2: Kuwa taifa tegemezi na ombamba badala ya kujitegemea
3: Kuwa taifa la wababaishaji badala ya watendaji
4: Kuwa taifa la mafisadi na wala rushwa badala ya taifa la waadilifu
5: Kuwa taifa la kuendekeza vikao na semina kwa ajili ya posho badala ya kuongeza tija kwa kufanya kazi kwa bidii
6: Kuwa taifa ambalo baba wa nyumba ni kiguu na njaa kila kukicha!
 
Kuwa taifa la kwa duniani halifuati katiba.
Kuwa taifa la kwanza duniani cheo ni ulaji.
Kuwa taifa la kwanza duniani uongozi una bei(thamani).
Kuwa taifa la kwanza duniani wananchi wana uelewa kuliko viongozi wao.
 
Back
Top Bottom