Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Mbona watu wa CCM mmelivalia njuga sana hili la ushoga au limegusa interest zenu? (sitaki nataka).
Nyie hangaikeni lao hiyo si sera ya Chadema, Chadema haina muda wa kupoteza kuzungumzia ushenzi unaofanywa na CCM ina mambo mengi ya msingi ya kushughulikia likiwemo kupanda kwa gharama za maisha.
 
Kwanza inaelekea hujamwelewa vizuri DC. Soma huu mstari vizuri : Mr Cameron's threat applies only to one type of bilateral aid known as general budget support, and would not reduce the overall amount of aid to any one country. Unataka kuniambia kuwa wewe ni kilaza kiasi kwamba hata huelewi anayelengwa katika statement ya DC ni nchi au Chama?
Pili hapo kwenye red wewe mwenyewe bila kushurutishwa umesema NCHI ZINAZOOMBA MISAADA. Hivyo unajua kabisa kuwa zinazolengwa ni NCHI siyo VYAMA. Kwa hiyo wewe unajua ila hujui kuwa unajua - ni m.p.um.b.a.f.u. Kwa maana nyingine kauli yako ni kwamba chama kinaweza kuendelea kupata misaada even if will not comply to DC requirements, but the country weill not. Hata kwa nchi siyo misaada yote, bali ni general budget support
 
kwa hiyo mtaendelea kuchukuwa misaada kutoka Conservative?
 
We ritz naona unawashwa sio tu na umasuburi bali na ukameruun. Misaada hiyo waliipitishia kwako kabla ya kuwafikia CDM?
 
Wewe unaongea kama mbumbumbu wa maswala ya kisiasa, ndio maana unajenga hoja dhaifu sana, ili kufanya watu waamini chadema ni chama kibaya. CDM hawahitajiki kutoa maelezo kuhusu hili kwa kuwa ilani ya chama na hata katiba yake haisemi popote kuwa inaunga mkono usenge au ushoga,.CONSERVATIVES ni marafiki wa cdm lakini hakuna mahali walipopatana kuwa cdm ihubiri ushoga, hata conservatives wenyewe enzi za akina margareth thatcher john major na wengine sera ya ushoga haikuwepo imeibuka so recently sasa kama watalazimisha kuwa ili cdm wapate msaada lazima waikubali sera ya ushoga well it is the matter of decision but no way cdm wanaweza ku compromise utu wa mtanzania, utamaduni wetu na mila zetu simply kwa ajili ya misaada, cdm wana mtaji mkubwa sana wa wanachama wake.Zungumzia maswala ya msingiyanayoligusa taifa na future yake na sio kutafuta so weak points unaonekana kituko au mshabiki tu usiyejua unaloliongea.,,be sensible dont continue to be an idiot!!!freedom is coming tomorrow!!!!
 
Mbaya Zaid, Serkali yenu ya CCM chini ya Mkwe.re na Membe Juzi juzi tu walikuwa wanalilia warejeshewe Fedha za Rada na hao hao Mnao waponda, Plus Misaada kibao na sehemu ya Budget kutoka Serikali hiyo hiyo ya David Cameroon, Kabla CHADEMA hawajaja hapa kuto aufanunuzi, Waite Waume zako CCM waje watoe maelezo ni kwanini mpaka sasa wanaomba misaada kutoka serikali inayotambua mashoga hadi kufikia kuletwa Balozi shoga na still bado Mwabwana zako wataendelea kwenda kulia Njaa huko, then CHADEMA ndo watakuja kutoa tamko.
Nashanga serikali ya CCM kupiga kelele wakati sehemu kubwa ya bajeti yake inatoka kwa mashoga,
tusishangae kesho na kesho kutwa kumsikia Membe na mzee wa suti wako London wakitomasana na mashoga wapewe angalau kibaba cha unga.
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea

akili fupi kama manyoya ya runguruwe.

aliyekwambia Chadema ni nchi nani?
 
Kwanza inaelekea hujamwelewa vizuri DC. Soma huu mstari vizuri : Mr Cameron's threat applies only to one type of bilateral aid known as general budget support, and would not reduce the overall amount of aid to any one country. Unataka kuniambia kuwa wewe ni kilaza kiasi kwamba hata huelewi anayelengwa katika statement ya DC ni nchi au Chama?
Pili hapo kwenye red wewe mwenyewe bila kushurutishwa umesema NCHI ZINAZOOMBA MISAADA. Hivyo unajua kabisa kuwa zinazolengwa ni NCHI siyo VYAMA. Kwa hiyo wewe unajua ila hujui kuwa unajua - ni m.p.um.b.a.f.u. Kwa maana nyingine kauli yako ni kwamba chama kinaweza kuendelea kupata misaada even if will not comply to DC requirements, but the country weill not. Hata kwa nchi siyo misaada yote, bali ni general budget support

Chadema wafadhili wao ni chama kinachotetea mashoga na mwaka 2005 na mwaka 2010 walipewa Magari, Pikipiki, Baisekeli, na pesa..

Je unapenda kuendelea kusaidiwa na chama chenye kupenda washoga?
 
Inahitaji akili ndogo sana kujua kuwa haki za ushoga hazijatengenezwa na Conservatives. Sheria ya mwisho kuwapa mashoga haki ilikuwa mwaka 2005 wanaiita Civil Partnership Act. Ukisema chadema itaruhusu usenge kwa vile ni marafiki wa conservative ni kuonyesha uelewa mdogo sana. Ulaya nzima na marekani wanatambua ushoga, sasa niambie CCM hana chama rafiki ulaya na marekani? jE, CHINA WANAVYOTESA WATU KWA KUWAPIGA RISASI NA KUKANDAMIZA HAKI ZA BINADAMU KUNATOSHA KUSEMA CCM NAO WATAKUWA HIVYO? SIONI KWANINI CHadema watoe msimamo
 
Chadema ni chama makini kuna wasomi na kimejaa wanasheria..
Dr. Slaa jitokeze jamvini tuwekeni sawa watanzania, kesho mnaweza kuchukuwa dola watanzania wataka kujua msimamo wenu kama chama litoleeni ufananuzi suala la ushoga
Dr. Slaa hana muda mchafu wa kuongelea ushoga wa CCM kamuulize bosi wako Nape anayetaka kuwashikisha ukuta vijana ndio anaoujua.
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Hii imekaa vibaya ile mbaya, ni vema wakafanya hivyo kwa maslahi ya taifa , otherwise tunaanza kuamini na wao ni mmmm, basi siwezi kutamka tena madudu yenyewe.
 
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..

Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..

Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa

Kwa hiyo Cameroon kavunja katiba ya uingereza?
 
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..

Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..

Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa

Acha uongo mtu mzima' Uingereza kama nchi inatambua Ushoga ndiyo maana ndoa zao zinafungwa hadharani!
 
Dr. Slaa hana muda mchafu wa kuongelea ushoga wa CCM kamuulize bosi wako Nape anayetaka kuwashikisha ukuta vijana ndio anaoujua.

Leo ndo nimeamini Riz una akili nusu na robo,cdm kuwa rafiki na conservative kuna uhusiano gani na kuruhusu ushoga? Hivi magamba wanavyopewa misaada nao huwa wanashikishwa ukuta? This is a very ridiculous post,mods do the needful.
 
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..

Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..

Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa

unaelewa ulichoandika hapo juu?
 
Anyway wakati mwingine mtu huwa anaamua kuacha kuelewa na kuendeleza ubishi ili tu thread yake ionekane inawachangiaji wengi ila ukweli kama wwe ni independent thinker kama ulivyojiita basi ungekuwa umekwisha elewa kinachozungumzwa kujaribu kukuelewesha kama kweli unahitaji la kuelewa ama shida yako ni Dr. Slaa aje ajibu ndio utaelewa?

Sera ya ushoga inatumiwa takriban na mataifa mengi ya magharibi na wala kwa wao ushoga sio jambo la ajabu kama huku kwetu tunavyolichukulia. Kama unataka chadema wavunje mikataba ya misaada kutoka Conservative basi iambie serikali pia ikatae misaada yote kutoka nchi hizo tukiaanza na Uingereza na Marekani.

David Cameroon amezungumza kama PM na wala sio kama msemaji ama mwenyekiti wa chama cha Conservative. Hivyo amezungumzia nchi za jumuiya ya madola kuafiki sera ya nchi za magharibi kuhusu ushoga na wakikataa basi athari itawakumba katika Budget za nchi zao na wala sio misaada mingineyo. Hivyo Tanzania kama nchi tutanyimwa msaada wa General Budget ya nchi na sio misaada mingineyo.

Ndugu ritz ukweli unaufahamu ila unajaribu kuupotosha uma wa watz ambao upeo wao wa kufikiri ni mdogo ama sio wafuatiliji wa kina wa mambo haya ya habari hivyo hutegea upeo wa watu wanaowaona ni wafuatiliaji wazuri ili kupata kinachojiri dunian nawe unaonekana kutaka kuwadhulumu kwa kuwahadaa haki ya kuujua ukweli. Mbona nchi imekuwa ikipokea na ninajua itaendelea kupokea misaada kutoka nchi zinazoshabikia ushoga tangu miaka na miaka na wala hatujaona ubaya wowote kulikoni kutaka kukichafua chadema kwa makubaliano ya tz na uingereza katika misaada ya kibajeti?
 
Acha kupotosha mkuu,
Chama cha Lobour toka kwa Tony Blairy mpaka Gordon Brown walikuwa wanapinga ushoga pamoja na kotoa mimba na kuwatetea wageni hizo ndio zilikuwa baadhi ya sera zao..

Conservative sera zao pamoja na kukubali haki za mashoga utoaji mimba pamoja na kuwabana wageni na wakimbizi hizo ni baadhi ya sera za Conservative

Hivi unajua wakati wa Blair kuna mawaziri waliokua mashoga wazi? Na unajua moja ya vyama kipenzi cha mashoga na wasagaji ni Labour baada ya Liberal Democratics wabia wa sasa wa Conservative? Binafsi sishangai kama hoja ya ushoga ktk sera ya mambo ya nje ya Uingereza itakua imeshikiwa kidedea na hao LB. Na hivi unafahamu LB ni chama rafiki na CUF hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom