Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

Sijaona cha gender humiliation ni kuaibishana kwenye media..Wacha wachambane, watanyamaza wakichoka!..Mijinga!
... let me try

wewe bj wewe kwanza we unajipendekeza tu ndio :argue: maana MP zako zote nimezirekodi :A S 100:baada ya posts zangu kuweka kweny loud speaker:nono:, ndio maana hata asprin nikamwambia unanirusha sana na posts na mie niko kazini nahangaikia jukwaa la wakubwa :frusty::A S-confused1::A S-omg::smash::crutch::A S-rap:

ukijibu tu:doh::doh::doh::doh: umenidhalilisha :nono:
 
Jamani mimi naandika hili nikiwa na machungu kutoka moyoni. Tarehe 19/05/2011 Chalz baba alihojiwa kuhusu tetesi za yeye kurudiana na Wema Sepetu, lakini majibu aliyojibu kwa kweli ilikuwa ni zaidi ya udhalilishwaji wa mwanamke (specifically Wema). Alisema eti Wema ni kama mfereji, daraja, malaya ambaye anajirahisha kwa wanaume ili aendeshe maisha yake kwani ni mvivu na hana bidii katika maisha. Na hivo kwa maneno hayo chalz baba akasema hawez kurudiana na malaya kama Wema.[/SIZE

Lengo la kuleta uzi huu si kwa ajili ya kumtetea Wema lakini kama a gender sensitive person chalz baba hakuwa sahihi kuongea maneno kama haya tena mazito kwenye chombo cha habari tena ambacho kinasikilizwa ulimwengu mzima. Baada ya yeye kumaliza shida zake ndo leo anamuona malaya?? kwani malaya anafanya hiyo tabia peke yake?? Ina maana hata yeye chalz baba inabidi aitwe hvo. Huyu mwanamume akumbuke kuwa na yeye ana mama, dada, na hata shangazi zake ambao ni wanawake na siku ya siku yanaweza kuwapata haya anayomfanyia wema leo. Je yakitokea kwa familia yake atafurahi??

Natoa wito kwa wanaume wooote kuweza kuepukana na udhalilishaji wa kijinsia kama huu ambao unaweza kuepukika. Angeweza kusema tu kwamba hana mpango wa kurudiana na wema bila kutamka hayo matusi.

Hakuna kama mama jamani, mwanamke yeyote ni mama. tuheshimianeni pamoja na kasoro tulizonazo.

MWISHO

Kama kawaida masharobaro wataniuliza source, source ni Clouds FM tar 19/5/2011 kipindi cha movie leo





hapo kwenye red kwa kweli huyo mwanaume hana akili....... na pia hana ustaarabu wala busara! Heri angenyamaza! maana kama ni ujinga walifanya pamoja..................
 
mkuu usipate taabu....mazungumzo ya wema link hii hapa ZAMARADI


Kabla ya chalz kuhojiwa alihojiwa wema jana yake, labda hamkusikiliza lakini wema pia aliongea kashfa kama kawaida yake, alisema chalz baba alipokua naye ndo alikuwa anapata coverage ya media, niliweza kurekodi sehemu ya mahojiano hayo nita ipost hiyo audio file ili muweze ku balance (when I get back to my comp)
 
wema wema!mhun mhun!jaman ebu tutumie akil,huyo chaz baba s mhun?na what abt wanaume wengne anaotembea nao hawajui kama ni mhun wakamwacha?hawana lolote hata kama dada wa watu anamakosa mnamsema sana.
 
... let me try

wewe bj wewe kwanza we unajipendekeza tu ndio :argue: maana MP zako zote nimezirekodi :A S 100:baada ya posts zangu kuweka kweny loud speaker:nono:, ndio maana hata asprin nikamwambia unanirusha sana na posts na mie niko kazini nahangaikia jukwaa la wakubwa :frusty::A S-confused1::A S-omg::smash::crutch::A S-rap:

ukijibu tu:doh::doh::doh::doh: umenidhalilisha :nono:

Hahahah natamani kumsaidia BJ kujibu!!
 
Nafikiri aliyeanzisha thread hii nataka tuamini kua gender sensitive ni malaya kumwita Guadalupe. Mimi sina tatizo na hilo. Tatizo langu ni kufananisha mama zetu,dada zetu na wake zetu na Wema!!! khaaii sasa hii ndio gender humiliation yaani wanawake wote kuwafananisha na Wema! Wengine tumebahatika kupata wamama wenye miakili kama Nyerere.

Umenikumbusha ni wahudumu wa baa na wacheza show wa bendi za dansi pekee wanaoongoza kwa kulalamikia jamii kuikubali kazi zao na kuziona kama kazi zingine.Tofauti na walimu, madaktari ,wauguzi nk. Dah!! nimechoka nilichotaka kuunganisha hapa, nitamalizia siku nyingine.
 
Huyo mwanamke yeye hua hawatukanagi hao wakaka???!

Weee!!! anawatusi kama hana akili nzuri, siku moja alisema eti yule bwana yake wa zamani sijui ndo chalz baba! anachonga sana.. au alitaka yeye (huyo bwana yake) ndo awe na daimondi.

SOURCE: nilimsikia akihojiwa katika kipindi cha leo tena cha clouds fm
 
Weee!!! anawatusi kama hana akili nzuri, siku moja alisema eti yule bwana yake wa zamani sijui ndo chalz baba! anachonga sana.. au alitaka yeye (huyo bwana yake) ndo awe na daimondi.

SOURCE: nilimsikia akihojiwa katika kipindi cha leo tena cha clouds fm


Sasa kama nae ndo wale wale huruma ya nini anaonewa?!Acha wachafuane mpaka siku watakayopata akili!
 
... let me try

wewe bj wewe kwanza we unajipendekeza tu ndio :argue: maana MP zako zote nimezirekodi :A S 100:baada ya posts zangu kuweka kweny loud speaker:nono:, ndio maana hata asprin nikamwambia unanirusha sana na posts na mie niko kazini nahangaikia jukwaa la wakubwa :frusty::A S-confused1::A S-omg::smash::crutch::A S-rap:

ukijibu tu:doh::doh::doh::doh: umenidhalilisha :nono:

MTM, kwanza nimecheka sana kwa hii 'scenario'..:dance:
Ni hivii, kwa hasira nitakujibu kutokana na ulichoandika/kusema hivyo basi ngoma inakuwa droo au tit for tat..:A S angry::fencing:
Vinginevyo, nitakuwa kimya mana ni kitu kizuri sana japokuwa kigumu kwa wengi wetu. Ukimya unasaidia hata kama unaonekana f.a.l.a pia kunakatisha maneno maana hamna majibizano.
 
MwanajamiiOne said:
Jamani kama ni issue ya gender sensitivity ninadhani ni jukumu la watanzania wote kulizingatia na si victims au waumizaji. Mimi nadhani kuna haja pia ya kukicondemn hata hicho kituo kilichorusha hayo mahojiano. maneno ya kashfa dhidi ya binadamu mwenzie si mazuri na pia si maadili katika jamii yetu kusikika yakitamkwa hadharani.....kwa nini wasiedit kwanza kabla hawajayarusha?? Lilikuwa ni jukumu lao kuwausia hao wahojiwa kuwa lugha kali za matusi na kashfa haziruhusiwi katika mahojiano haya fullstop.

Wether Wema au HBaba ni mfereji au bahari haituhusu sie wasikilizaji na wala hakuna aliye perfect katika maisha. tusi/ kashfa kwa Wema ni sawa na tusi kwa dada zetu, mama zetu, binti zetu au hata nyanya zetu na vile vile tusi/kashfa kwa Hbaba ni sawa na tusi/kashfa kwa baba zetu, kaka zetu, watoto wetu na hata waume zetu.

Tuwajibike



Ndugu ninafikiri mtoa mada hapa ameitoa kulalamikia lugha zilizotumika kwa hawa wapenzi hakuileta hapa tumchambue wala kumtukana H baba wala Wema so pleasetambua kuwa si haki kuwasema watoto wa binadamu mwenzio kuwa ni an embarasment kwani we huna watoto? na kama huna hutokuwa nao?

unawezafikisha ujumbe wako vizuri pasipo kukashfu.
peace

naamini unamaanisha chalz baba na sio h baba (ambaye pia ni msanii)

 
tatizo ukianzisha vita huwezi jua mwenzio atajibu mapigo kwa kutumia silaha gani.
wengine hujibu mapigo kwa kutumia silaha zinazofanana na ulizotumia wewe
na wengine huja moja kwa moja na silaha za maangamizi ili akumalize moja kwa moja.

sasa kama wema alianza kwa silaha za rasharasha naona mwenzie kaja na mbomu
yaliyobakia gongolamboto lol
 
Back
Top Bottom