Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Na hivi Husninyo ndo ameshatutaarifu, yaani ndo sitajibu hata moja kabisaaa!

Umeona eeh!
Tatizo ukiwa mstaarabu watu wanatake advantage; anyway namsalute sana Husninyo kushare hii kitu.
 
Naamini sana katika kuheshimu maamuzi ya mtu Husninyo ulichelewa kufanya haya maamuzi,wakati mwingine ni kero sana.Kuna mtu unaweza ukajuta kumjua halafu ukajiuliza ametaka kukujua ili iweje.Pole na hongera pia.Aina yangu ya kuwepo hapa ni tofauti sana!Nikibadili mawazo huenda nikaja na mpya!
 
Last edited by a moderator:
...MODS itakuwa vizuri sana mkimruhusu Husninyo ayaweke hadharani majina ya wahusika ili wajulikane kwa umma wa JF na kisha wapewe kifungo cha maisha.
Kwa lipi hasa mkulu? huoni kwamba huko kutakuwa ni kuhukumu kwa kutumia ushahidi wa upande mmoja? Hata makosa yenyewe ni ya kitoto sana. Labda kosa kidogo kwa yule aliyekopa pesa na kuingia mitini, lakini kwa hali ngumu ya maisha bado it is still understandable.
 
Hahah Shemeji acha bana........

Hussy mydia, remember wewe si mwanamke (member mwenye avatar ya kike) peke yako ambaye unatongozwa, kama hakuhusu mpotezee mydia, hulka ya binadamu haitabiriki aisee! Ukimindi ni kwamba nawe umevutika...................achana naye mpotezee
Mpotezee aisee

Mhhh,

Hata sielewi kwa kweli....Unadhani hizi avatar zenu ambazo zinaonesha kuwa karibu JF female members wote ni walimbwende/models ndo zinawaponza?

Ila kama kuna watu wananaswa na Avatars basi wanahitaji ukarabati mkubwa either kwa maombi au counselling!!

Babu DC!!
 
Husninyo !
Haina ubishi kwamba katika wote waliopatwa na MAUMIVU kufuatia maamuzi yako , basi mimi nitakua muathirika No 1 !
Aidha kufuatia kupata kwangu matatizo ya kuumwa tumbo jana asubuhi , na baadae nikalazwa hospital.
Napokea TALAKA hii nikiwa Agakhan hosp.
Hence now niko ktk maumivu twicely!
Mdomo umenijaa mate !
Labda niache kumbukumbu moja kwamba nami Challenge yangu ya kwanza hapa Jf ni huu waraka wako!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Kongosho yuko wapi? Miss her/him a lot, angeongeza humor kwenye hii sad nyuzi!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh!
Tatizo ukiwa mstaarabu watu wanatake advantage; anyway namsalute sana Husninyo kushare hii kitu.

Nimeona mpendwa wangu na nitalifanyia kazi zaidi!! Nakumbuka kuna mtu alishawahi pia kulalamika kuwa kajikakamua kutuma pesa kwa binti, kumbe kalitumia dume jenzie tofauti na matarajio yake.......dah Jei efu kwakweli!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Yaani ndo mama mkwe sijatajwa! Ama kwa vile ulimpiga mwanangu chini ndo familia nzima umetutupa? Mie na baba mkwe wako tutakukosa sana, hasa ile mission town ya kuazimana kope,lol! Ila Preta najua hatonitupa, ili na mie niwe kijana.
Watu wa mtandaoni mkwe wachukulie kimtandaoni,lol! RIP
 
Husninyo
Yaani nimekopa ka elfu hamsini unanianzishia sredi?.
hebu ukipata wasaa na ukiwa free njoo kule nimalize deni lako halaf ubakie.

Halaf tunaomba michango yenu wana JF ili twende kwa mganga mzoefu tukawashuhulikie waliomkera husninyo
 
Kwa lipi hasa mkulu? huoni kwamba huko kutakuwa ni kuhukumu kwa kutumia ushahidi wa upande mmoja? Hata makosa yenyewe ni ya kitoto sana. Labda kosa kidogo kwa yule aliyekopa pesa na kuingia mitini, lakini kwa hali ngumu ya maisha bado it is still understandable.
Si sababu wanajua hakuna namna mods waruhusu hilo?
wengi wanajua walisha wahi kufanya mambo kama hayo
ID zaidi ya moja imekua kawaida. Members kukutana nje ya JF ipo
Members kufatilia maisha ya members wengine na kuwa-harass
hadi members hao wanachange ID ipo pia, na itaendelea kuwepo.

I am just happy for Husninyo, ameamua kuchukua hatua.
Najua atawataja tu, kama sio katika thread hata kwa PM
au Sms au hata live. but sooner or later watajulikana.
It was nice meeting you Husninyo, I will miss you so much :hug:
 
Pole Husninyo kwani haya ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Kuhusu majina hata mimi wakati mwingine huwa natamani "kujiua" ili nije kivingine, lakini ukweli wa mambo ni kwamba ukija kwa jina lingine ladha yako hata kwako wewe mwenyewe inakuwa siyo.

Hebu fikiria mtu kama malariaSugu au FaizaFoxy na wengineo hata kama wamekuja na IDs nyingine ladha yao itakuwa si ile. Watu wanajua Kigarama ana ladha gani au Young Master naye ni hivyo hivyo. Husninyo usijiue bibie...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Hahaha.....Naunga mkono hoja ya BAK watajwe wote, tuone jinsia za Mods zikibadilika

Hahah yani km invizibo na uanaume wake tu anatisha kama wasira. Akibadilika jinsia si itakuwa version ya pili ya bi kidude?
 
Hahah yani km invizibo na uanaume wake tu anatisha kama wasira. Akibadilika jinsia si itakuwa version ya pili ya bi kidude?

Hehehe mie simo!

Husninyo ameamua kucommit suicide lakini BAK anataka ajilipue kwa kujitoa muhanga ili ende na wengine :tape:
 
Mi nadhani kwa memba wa kike ni bora mkablock PM maana najua ni usumbufu wakati mwingine!
 
Hivi Husn anaishi Tanzania? Basi kama si wewe umetufukuzia basi atakuwa klorokwini. Jamaa linatongozaga mpk midume asee. Likiona jina limekaa kikike lenyewe linawahi PM. Nakumbuka mara ya mwisho kidogo tumwagiwe maji moto... Siku zote alikuwa anamtongoza mwanajamiione bila kujua kumbe mj1 ni bonge la dume lenye midevu kama ya Seif Sharrif Hamad.

hehheehe fellow tablet hapa hutoki, omba Mungu ombi la BAK la kuwataka mods wawataje hazarani lisikubaliwe.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom