Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
dah umeongea vyema queenkami, humu kuna siri humu.....we acha tu!!!

Afu mbona PM zangu za mtongozo umezichunia? Mi ni MBA bana. Yani Married But Available. Usiichezee hii bahati nikaihamishia kwa sweetlady.
 
Last edited by a moderator:
Sina imani na wewe. Isije ikawa we ndo umetufukuzia Husn wetu.

Hahahahahah lol! amini unavyotaka kuamini. Mie siishi Tanzania kwa miaka chungu nzima sasa. sijawahi hata siku moja kuomba contacts za Husninyo sasa iweje leo mie ndiye niwe nahusika na kumfukuza Husninyo!? Acha hizo bana!!!! MoDS wamruhusu Husninyo aweke majina ya wahusika hadharani uone kama jina langu litakuwemo.
 
Hus,

Pole sana mdogo wangu,

Kusema kweli...tena ukweli wa moyoni, siku yangu imeharibika ghafla....

Binafsi sijawahi kupata challenge yoyote hapa JF na pia napata PM zisizozid 2 kwa week.....labda kwa sababu ni kibabu cha 1947 au ...??????

Pumzika salama Hus.....

Babu DC!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Husninyo.. Kumbuka kuna watu walio - Behind the scene kama sisi ambao tulifurahishwa na kuelimishwa na michango yako..

Pia kumbuka..Walio wengi JF wanakupenda..wachache wanakuchukia, na wachache sana wana akili finyu na kuna baadhi yao ni wahuni...

Anyway...Thanks for everything & Follow your heart.. Kwa heri ya kuonana ID Husninyo..!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
...MODS itakuwa vizuri sana mkimruhusu Husninyo ayaweke hadharani majina ya wahusika ili wajulikane kwa umma wa JF na kisha wapewe kifungo cha maisha.
 
Afu mbona PM zangu za mtongozo umezichunia? Mi ni MBA bana. Yani Married But Available. Usiichezee hii bahati nikaihamishia kwa sweetlady.

Na hivi Husninyo ndo ameshatutaarifu, yaani ndo sitajibu hata moja kabisaaa!
 
Hus,

Pole sana mdogo wangu,

Kusema kweli...tena ukweli wa moyoni, siku yangu imeharibika ghafla....

Binafsi sijawahi kupata challenge yoyote hapa JF na pia napata PM zisizozid 2 kwa week.....labda kwa sababu ni kibabu cha 1947 au ...??????

Pumzika salama Hus.....

Babu DC!!!

Roho yaniuma jamani Husninyo kuondoka.......
 
...Tusiandikie mate na wino upo This is JF where dare to talk openly, Husninyo apewe ruhusa ya kuwataja wahusika wote hadharani....na kisha hatua za kuwaondoa hapa zichukuliwe mara moja.
 
...MODS itakuwa vizuri sana mkimruhusu Husninyo ayaweke hadharani majina ya wahusika ili wajulikane kwa umma wa JF na kisha wapewe kifungo cha maisha.

hahaha Kamanda imekutachi naona! Kwani na wewe cv yako
chafu unasumbua dada zetu hapa? Hebu msome vizuri Husninyo
magema yote hayo hajataja mapenzi. Hivi inawezekana hio challenge haijamgusa kweli?
Tumtafute kamanda aliemuumiza
tumpe permanent ban!
 
Lakini modes wanahusika vipi na matendo yanayofanyika nje ya mtandao??

Kipipi nimesema MODS watoe ruhusa majina ya wahusika yawekwe hadharani maana yanaweza kuwekwa wakaamua kuifuta hii thread.
 
hahaha Kamanda imekutachi naona! Kwani na wewe cv yako
chafu unasumbua dada zetu hapa? Hebu msome vizuri Husninyo
magema yote hayo hajataja mapenzi. Hivi inawezekana hio challenge haijamgusa kweli? Tumtafute kamanda aliemuumiza
tumpe permanent ban!

CV yangu poa kabisa Mkuu sasa...Ukweli ni lazima uanikwe hadharani.
 
Hahahahahah lol! amini unavyotaka kuamini. Mie siishi Tanzania kwa miaka chungu nzima sasa. sijawahi hata siku moja kuomba contacts za Husninyo sasa iweje leo mie ndiye niwe nahusika na kumfukuza Husninyo!? Acha hizo bana!!!! MoDS wamruhusu Husninyo aweke majina ya wahusika hadharani uone kama jina langu litakuwemo.

Hivi Husn anaishi Tanzania? Basi kama si wewe umetufukuzia basi atakuwa klorokwini. Jamaa linatongozaga mpk midume asee. Likiona jina limekaa kikike lenyewe linawahi PM. Nakumbuka mara ya mwisho kidogo tumwagiwe maji moto... Siku zote alikuwa anamtongoza mwanajamiione bila kujua kumbe mj1 ni bonge la dume lenye midevu kama ya Seif Sharrif Hamad.
 
Lakini modes wanahusika vipi na matendo yanayofanyika nje ya mtandao??

Hahah Shemeji acha bana........

Hussy mydia, remember wewe si mwanamke (member mwenye avatar ya kike) peke yako ambaye unatongozwa, kama hakuhusu mpotezee mydia, hulka ya binadamu haitabiriki aisee! Ukimindi ni kwamba nawe umevutika...................achana naye mpotezee [/QUOTe]

Mpotezee aisee
 
CV yangu poa kabisa Mkuu sasa...Ukweli ni lazima uanikwe hadharani.

Afu we BAK mbona umekomaa wanaume wenzio tuadhirike? Mod atakayetoa hiyo ruksa ntambadilisha jinsia. Laaleki!
 
samahanini wapendwa, nitarudi baadae au kesho kujibu comments zenu. nimetingwa kidogo halafu network haipo vizuri upande wangu, msihofu tutakuwa wote mpaka alhamisi. ban yangu itaanza rasmi ijumaa.msihofu kuhusu mimi, nipo na amani kabisa na niliona si vibaya kushare nanyi haya mambo. challenges nyingi niliweza kuziovercome ila ndio hivyo unapokosea ndio unapata fursa ya kujifunza zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom