Chalinze: ajali

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
kuna ajali mbaya imetokea hapa karibu na shule ya pigo chalinze imehusisha magari matatu gari moja limeharibika sana sijafanikia kujua waliokuwemo humo kama wame salimika na na eneo moja vijiji vitatu kabla ya mto wami kuna ajali ya malori mawili moja likiwa limebeba mafuta lakini cha ajabu kabisa baada ya ajali hiyo watu walianza kuchota mfta na hii ilikuwa inafanyika mbele ya polisi zaidi ya watano..watz hatujifunzi kutokana namakosa...
 
Hawa wa TZ hawakomi huwa yanawanguza sana hayo mafuta!
 
PHP:
Cha ajabu kabisa baada ya ajali hiyo watu walianza kuchota mfta na hii ilikuwa inafanyika mbele ya polisi zaidi ya watano..watz hatujifunzi kutokana namakosa...

Kufa kufaana!
 
Back
Top Bottom