CHAKushindwa Mshaurini mwenyekiti wenu

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Hivi nyie CHAKushindwa (CHADEMA) na akili zenu zote, mnashindwa kumshauri Fisadi Mbowe asiongelee suala la mahakama kuhusu kutolewa hati ya kukamatwa kwake. Hili ni suala la mahakama na la kisheria lina utaratibu wake. Masuala ya mahakama husafishwa na mahakama sio waandishi wa habari. Yeye aende mahakamani akajisafishe kutokana na kutoitii mahakama, sasa waandishi wa habari watamsaidia nini kuhusu hilo jambo?. Mshaurini Mwenyekiti wenu, nadhani na elimu yake ndogo ndio maana anajiendea endea tu.
 
CCC mshaurini mwenyekiti wenu ajiuzulu urais kwa kuwa ameshindwa kuongoza amebakia kucheka cheka tu
 
Back
Top Bottom