Chakula cha vunja mbavu.

komedi

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
204
17
Jamani mi nikicheka naongeza dakika zangu za kuishi, naomba unitajie chakula chako cha vunja mbavu nifurahi mie, cheki yako ipo usijali.

Mfano, mie napendelea mishkaki ya uji.
 
Kule kwetu zeni tunauita UJI WA SHURBA ukipata na JUISI YA TENDE wewe mwenyewe utapenda:love::love::love:
 
hahahaha...sasa hii tunaiweka kwenye buffer la dinner ya leo.....bila kusahau sambusa za pipi kifua.
 
T,he t,he weye bana mie saaana nipate kifungua kinywa cha chai ya maziwa ya kuku kwa mayai ya ng'ombe.huku pembeni niwe na matunda kama ntarali,ukwaju,mahama,weee!!
 
Ati ndugu yangu Singh anasema ana kiu ya maji ila yawekwe pilipili kwa wingiiiiii...
 
hahahaha...sasa hii tunaiweka kwenye buffer la dinner ya leo.....bila kusahau sambusa za pipi kifua.

Mh! kumbe mmekusudiya mahanjumati kama hayo........
Basi mi nikipata koni ya kukaanga ikatiwa philiphili mdawiya, philiphili mdawati, mabili compoza mmmhhhhhhhhhhh apo upate na piza ya kongoro yani utajiramba sanaaaa
 
Mimi napenda sana Chips na nyama ya kunguru

hahahaaha....hapa upate kunguru broiler...halafu firigisi zake sasa zikaangwe na mafuta ya transformer...halafu chipsi zikiwa za magimbi ndo zenyewe
 
Mh! kumbe mmekusudiya mahanjumati kama hayo........
Basi mi nikipata koni ya kukaanga ikatiwa philiphili mdawiya, philiphili mdawati, mabili compoza mmmhhhhhhhhhhh apo upate na piza ya kongoro yani utajiramba sanaaaa

hahahahahahaha...Mkwaruzo noma!!!! yaani hii yako sasa tunaiunganisha kwenye bufeee la VIP. Hapa hata kama unateswa lazima ucheke!!! pizza ya kongoro duh!!!!
 
Bufee ya leo itakuwa murua...yule dada mtengeneza sambusa za pipi kifua amesema atatutengenezea keki ya mlenda kwa ajili ya desert.
 
achen utoto, leten vichekesho vilivyoenda shule, ala!

sisi ni watoto na hatujaenda shule, kwa hiyo usitulazimishe kama unatulipa vile.....tafuta vilivyoenda shule na vya kikubwa kwingine...na ukiona inakukera si uipotezee tu.

Wewe vya kwako vya kikubwa ndo vipi? Ndo nyinyi wabadilisha majina mkitafuta umalaika...mna identity kibao, ukiona umechemka unaanzisha nyingine ili kutafuta umungu mtu, hapa jamvini hakuna hata mmoja asiyekosea au kupungua eneo fulani na ndo uanadamu.

kwanza nachukia sana mnaojifanya wakamiliiiiiifu sana humu, kwamba nyinyi ndo watu waziiiiiima, wengine watoto hawajaenda shule ila nyinyi ndo mmeenda shule....wacha nikustahi kwa muda nikapate kwanza nikirudi utanijiju...utanijiju nakwambia.
 
achen utoto, leten vichekesho vilivyoenda shule, ala!

Haya nimerudi......wewe mbona nakufahamu vizuri tu, una identity kama kumi humu jamvini na una tabia ya kujishukuru mwenyewe, nimeona sana watu kama wewe humu nikashangaa sana, sijui unatafuta nini, eti The following 10 Users say thank you to D5 for this useful post....tongomawe, shibonambi, kungumwamba, tongonyonyo...ah! wapi kumbe wooote ni D5.

Na hii ndo tabia yenu, ukiona kuna Identity inachipukia, unaanza kuwashwa kwenye dust bin hole.

Sikatai Constructive Criticism...lakini demoralizing criticism kwangu nitakula na wewe sahani moja, na huo mchezo wa kijinga wa multi identities nitauanza na mimi kwa ajili ya kushughulikia mash****ga kama wewe.

Inaonekana umekula supu ya mk**du jioni hii(hili ni tusi)....
 
Safi Mkuu. Sema kweli japo kuwa unauma.
 
Back
Top Bottom