Chakula cha usiku: Wahanga sasa ni wanawake!

Kuna mwanamke nilikuwa nalala nae kila alikuwa anapenda kila siku tu-do ukimaliza umelala anaanza tena kunipapasa na do tena mpaka mara 3 nikifika kazini nasinzia ukawa ndo mchezo wake.....dah nitaendelea kilichonipata.
 
Kuna mwanamke nilikuwa nalala nae kila alikuwa anapenda kila siku tu-do ukimaliza umelala anaanza tena kunipapasa na do tena mpaka mara 3 nikifika kazini nasinzia ukawa ndo mchezo wake.....dah nitaendelea kilichonipata.

Mzee wa tatu bila tunasubiri utuhabarishe zaidi.Tanga akina mama wana mbinu murwaaa nashauri wake wawa ulize kulikoni chakula wanakiaandaje ?
 
Kama nitajafikia uamuzi wa kuoa, sitathubutu kamwe kuoa mwanamke ambaye haoneshi dalili za kunitamani. Na dalili mojawapo ni kuniomba mchezo angao mara mojamoja. Yani siku zingine naomba mimi, zingine anaomba yeye.
 
Zamani ilikuwa ni wanaume waliokuwa wakilalamika, kwamba wake zao hawataki kuwapa chakula cha usiku kama wanavyotaka. Lakini baadae yaani siku hizi ni zamu ya wanawake kulalamika.

Katika nyumba nyingi siku hizi hasa mijini wanawake ndio wanolalamika zaidi kukosa chakula cha usiku kama wanavyotaka kutoka kwa waume zao.

Kwa nini hali hii?

Ukweli ni kwamba maisha yamebadilika sana na kila mtu anajitahidi sana kutaka kuhahakisha kwamba anafanya kazi hadi anaishiwa nguvu kabisa, akili na mwili vinachoka. Wanaume wengi wanaolalamikiwa na wake zao kuhusu kupata uhaba wa chakula cha usiku ni wale wanaofanya kazi sana.

Ningependa kuwashauri wanaume kwamba wakati wanafanya kazi zao mchana wakumbuke kwamba kuna wake zao wapendwa ambao wanawasubiri jioni kuzungumza nao na zaidi ya hapo. Wakumbuke hawajaoa kazi bali wameoa wake. Pamoja na kwamba ni muhimu kwao kufanya kazi, lakini wakumbuke kwamba kazi hazina mwisho.

Kuna jambo ambalo wanaume na hata wanawake hawalijui vizuri, hili ni lile linalohusu mazoezi. Mtu anapofanya mazoezi anawezesha damu kuzunguka na kufikia sehemu zote za mwili kwa kiwango kinachotakiwa. Kukaa ofisini kutwa na kurudi nyumbani na kukaa kwenye kochi na kuangalia TV siyo aina ya maisha inayoshauriwa tuishi. Mwili unapochangamka kwa damu kufika kila mahali kwa kiwango kinachotakiwa hamu ya kutoa chakula cha usiku na kukipokea huwa kubwa.

Lakini mbaya zaidi ni kwa wanawake wenyewe pia. Kuna wanawake ambao bado wanaishi kwa miiko ya karne moja nyuma. Hawa wanangoja wanaume zao wawachokoze, wasipofanya hivyo, basi hata mwaka watakaa wakilalamika kwamba hawapati chakula cha usiku. Tukumbuke kwamba hata wanaume nao ni binadamu pia, huhitaji wakati mwingine kushtuliwa, kwani wakishtua wao tu kila siku, kuna wakati hukinai.

Sio vibaya watu wakakumbuka thread zenye akili kama hizi ambazo zimejaa hekima na mafunzo.
 
kabla sijaifungua, nlposoma heading nldhani ni zileeeeeeeee...kuja kuisoma yenyewe imejaa "madini"
 
Back
Top Bottom