CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya

Jana nilikula makaroni, nilishiba kweli.
hapa kuna mjadala gani tena wakuu.....
chakula? kama hakitoshi mbona kina baba wanagawa kwa wengi? unakuta mwanaume mmoja anagawia wanawake wanne au zaidi.

Hapo sasa, wanaume wanasingizia uchovu wa kazi za ofisini au biashara kumbe wanakuwa wameshamalizia nguvu zao kwa SMALL HOUSE!
 
Asubuhi ya saa ngapi? Tunaamka "alfajiri" ya saa tisa na "asubuhi" ya saa 12 inatukuta ndani ya "Azania Front" tukiimba mapambio - see?

We baba Enock we we! Sisi kweli tuna kaa mbali kuepuka foleni tunawahi sana:whoo: Pale Azania Front tuna kwenda kutubu (wengine kuvuta muda) kabla ya kunza siku mpya... Du Nimelikubali comment lako kama umeniona ila tupo wengi.
 
Maoni yako yanafanana na maoni yangu niliyochangia katika ile forum, mchango wangu ulikuwa hivi:

Mimi nafikiri pia mazingira tunayoishi sasa hivi yanachangia wanaume kutowapa wake zao chakula cha usiku vile ipasavyo. Zamani ilikuwa ni nadra sana kukuta mwanamke akionyesha baadhi ya maungo yake (sehemu za mwili wake). Lakini sasa hivi (wakati huu tulionao) imekuwa ni mtindo kwa wanawake kuonyesha sehemu za miili yao, wenyewe wanasema wanakwenda na wakati. Hivyo mchana kutwa mwanamume
anashinda akitazama nyuchi (sehemu za wanawake zinazoachwa wazi), iwe ofisin au njiani. Hali hii inamfanya mwanamume huyu kupoteza hamu ya kutoa chakula cha usiku kwa mkewe pindi arudipo nyumbani kwani hamu inakuwa imekwisha kwa kutazama maungo ya wanawake huko njiani. Mwanamume asipozoea kuonaona maungo ya mwanamke anakuwa na hamu ya kutoa chakula cha usiku kwa mkewe.

Tuko pamoja kwa hili na kwa kuongezea wanawake kukeketwa (zamani) lengo haswa lilikua kuwapunguzia/kuondoa mshawasha! Sasa pata picha mchana kutwa tv zinaonyesha mambo ya malove, hakuna ukeketaji, wanaume wanatumia vyakula vya makopo, malalamiko yatakwisha?
 
dah..nilipata ushauri wa hapo juu wa kufanya mazoezi mara kwa mara.....jamani kweli yana saidia sana kwa ujumla!!!!!!nilikuwa naishia kwenye kimoja then sirudii tena...sasa hivi nimerudi kwenye bao nne....tena intervals fupifupi.....ila tatizo na kuwa na nguvu zaidi mechi za nje kuliko za ndani, but hapa nafikiri ni tatizo la kisaikolojia zaidi...

hapo kwenye red ndio tatizo lilipo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom