Chakubanga

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
gregory3.gif



ch_mananasi01.gif


gregory4.gif


ch_chakula01.gif


CHAKUBANGA.gif


mlimani01.gif
 
Those old days!
Christian Gregory (Chakubanga) alikuwa mbunifu sana.
Kuna yeyote mwenye taarifa kwamba kwa saa jamaa yuko wapi na anafanya nini?
 
Those old days!
Christian Gregory (Chakubanga) alikuwa mbunifu sana.
Kuna yeyote mwenye taarifa kwamba kwa saa jamaa yuko wapi na anafanya nini?

Copied from BiMkubwa post dated 31st May 2010 "He died late 1988 or early 1989. He was my neighbour. He was not even known in the neighbourhood by his real name. Everyone called him Chakubanga to the extent even his kids were referred to as So and so chakubanga. Up to this day they are still called the same way, even his grandchildren are called the same way.........<!-- google_ad_section_end --> "
 
Dah.............I miss him...............we muuulize kid yote wa 1980s kama hajasoma Chakubanga basi amepitwa na siku......:becky::becky::becky:
 
Hapo nakumbukia na Vipindi Vya MIKINGAMO SAUTI YA UMMA NA MISAKATO VYA RTD ENZI ZILE MIAKA ILE.
 
hizo chakubanga ilikuwa unakata kutoka kwenye gazeti unazihifadhi ili uende nazo shule kuwaonyesha wenzio au unabandika kwenye daftari kama kitabu vile
 
Hilo ndio tatizo la kutotunza na kufuatilia maisha ya ma Celeb wetu kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kunatakiwa kuwa na vipindi ktk redio na Tv zetu za mahojiano, maisha ya watu walioifanyia mambo makubwa jamii yetu. Hivi maveteran wa vita, wachezaji maarufu, watangazaji, wanaharakati n.k wapi unaweweza kupata wapi data zao, picha zao, interviews n.k? Tunaishia kusema'' LUNYAMILA BWANA ALIKUWA WINGA MACHACHARI" lakin hatuwezi kuonyesha hata move moja alivyokuwa akinyanyasa enzi zile. Wenzetu wana mpaka mechi za kombe la dunia la 1966, striker wakali kama Eusobio n.k
 
Back
Top Bottom