M mja JF-Expert Member Nov 8, 2010 310 64 Jun 17, 2011 #1 hivi huyu jamaa yuko wapi??? manake enzi hizo katuni zilikuwa zimeeda shule vile vile
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,881 1,124 Jun 17, 2011 #2 Angekuwepo sidhani kama bado angeendelea kubaki uhuru.
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 28,903 10,534 Jun 17, 2011 #3 Alikuwa mkali sana enzi za mwalimu,nasikia alishatangulia mbele za haki.
M MAMENGAZI JF-Expert Member Dec 31, 2010 780 128 Jun 17, 2011 #5 umenikumbusha mbali sana na katuni hiyo
bullet JF-Expert Member Oct 31, 2009 1,047 537 Jun 17, 2011 #6 Alifariki. Mojawapo ya majina yake ni Godfrey kama sikosei. Umenikumbusha Bushiri, Chupaki na Chakubanga!
Alifariki. Mojawapo ya majina yake ni Godfrey kama sikosei. Umenikumbusha Bushiri, Chupaki na Chakubanga!
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,445 51,909 Jun 17, 2011 #7 Hao ndo walikuwa wasanii wa ukweli hasa, hakuna copy and paste hapo.
Anko Sam JF-Expert Member Jun 30, 2010 3,202 820 Jun 17, 2011 #8 Kiranja Mkuu said: alikuwa anaitwa nani vile? Click to expand... Alikuwa anaitwa Isaac Gregory, alikwisha tangulia mbela za haki-RIP aka "Chakubanga"
Kiranja Mkuu said: alikuwa anaitwa nani vile? Click to expand... Alikuwa anaitwa Isaac Gregory, alikwisha tangulia mbela za haki-RIP aka "Chakubanga"
Chamoto JF-Expert Member Dec 7, 2007 8,305 17,415 Jun 18, 2011 #9 Kiranja Mkuu said: alikuwa anaitwa nani vile? Click to expand... Christian Gregory
Caroline Danzi JF-Expert Member Dec 19, 2008 3,713 1,263 Jun 18, 2011 #10 OOh! Mungu amrehemu. Ukisoma lazima ucheke, watoto kwa wakubwa. Dah! umenikumbusha mbali sana!
mtemiwaWandamba JF-Expert Member May 2, 2011 561 223 Jun 20, 2011 #11 Na yule David KYUNGU alikuwa akichora katuni gani ?