CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

Humpendi mwenzio!!!, Atauona usiku mbaya!!, ndio mana namwambia alale!!.

anti we acha tu. Ukinikuta kwenye tawi la mchicha naning'inia ndio utaamini.

we mbona hulali? Chakula hakijaiva?

Kimeungua, wameanza kupika upya!!!

nikutumie makande upoze nja?

DASA Nimekushtukia... Nia yako nilale ili ubaki na my beautiful niece Husny?? Na Siondoki!! lol
 
Kila nikisoma posts naona giza wote mnajuana sasa mimi mgeni tapata mtu hata wa kunijibu kapost kangu kweli?
 
Kila nikisoma posts naona giza wote mnajuana sasa mimi mgeni tapata mtu hata wa kunijibu kapost kangu kweli?

wote tutakaoingia hapa tunatokea mtaa mmoja unaitwa MMU.....huko huwa love iko kwenye air.....yeyote anakaribishwa....kwa hiyo na wewe utajuana tu.....karibu.....
 
Kwaherini wandugu wana bodi, naona sitakiwi mnapiga story zenu tu,
ngoja nisubiri zangu mechi za UEFA
 
Kila nikisoma posts naona giza wote mnajuana sasa mimi mgeni tapata mtu hata wa kunijibu kapost kangu kweli?

Chinchilla habari yako dear.... Mie naitwa AshaDii, ukipenda naitwa ADI.... Karibu saana na hii thread ni maalum kabisa kwa watu kama wewe, nipi kwa ajili yako usijali.... Lete habari bana na Karibu saana JF....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom