CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

its my first time to write here but l real like this idea, sijui wageni kabisa tunakaribishwa? kama ndivyo naomba niwepo pia.
 
its my first time to write here but l real like this idea, sijui wageni kabisa tunakaribishwa? kama ndivyo naomba niwepo pia.

unakaribishwa.. Je unathibitisha kushiriki nikuweke kwenye orodha ya washiriki?
 
Zahoro Salim, ahsante kuthibitisha kushiriki. keep reading this post ili kupata update za mkutano..
waiting to hear from others.. SAA YA VITENDO NI SASA SI KESHO

huwa nikikatisha pale mwenge roho inataka kupaa nikiangalia yadi ya suma jkt ilivyojaa matrekta. anyways ipo siku,..natamani sana nihudhulie nikipata nafasi, nitaconfirm siku chache kabla.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Nimemwambia Tito akalipie ukumbi mkubwa kabisa ili tarehe 5february jumamosi saa nane mchana shughuli inaanza. Ni shughuli kweli kweli, mosi; kuhakikisha kama sura ya FL,NM,MJ ni hii iliyopo ktk avatar au sio na wengineo, pili; nini mwisho wa kikao.
 
Jamaa anayeshughulikia ukumbi anasema, kama muda ni saa nane kamili kuanza, je hakuna umuhimu wa kugonga menu pale ya mchana na nyama choma? kama kuna watu watataka kugonga menu ya mchana waseme mapema.
 
ntakuja na samaki wangu mwenye kofia Ya Shark(papa)kama ilivyo kwenye Avatar yangu,mimi nimelipenda Tractor la Kanyagio,siju atakuja nalo from the Farm :)
Nimemwambia Tito akalipie ukumbi mkubwa kabisa ili tarehe 5february jumamosi saa nane mchana shughuli inaanza. Ni shughuli kweli kweli, mosi; kuhakikisha kama sura ya FL,NM,MJ ni hii iliyopo ktk avatar au sio na wengineo, pili; nini mwisho wa kikao.
 
ntakuja na samaki wangu mwenye kofia Ya Shark(papa)kama ilivyo kwenye Avatar yangu,mimi nimelipenda Tractor la Kanyagio,siju atakuja nalo from the Farm :)

Ujue kila mtu akija kama alivyo ktk avatar yake, mkutano hautafanyika,je St. paka mweusi akija na paka wake, preta aje kama avatar ilivyo na cheusi Mangala itakuwaje?
 
Latest news,

Nimeongea na Tito akiwa Lunch Time sasa hivi, anasema amelipia ukumbi wa watu 35, anasema kila mtu akienda pale na Tsh 15,000/ atakuwa amelipia chakula cha mchana, mishikaki miwili,soda moja na ukumbi kabisa. Sasa naomba watu wajisajiri kwa Kanyagio kwa kulipia kupitia M-pesa, Tigo au Airtel. Tufanye hivi ili watu washiriki wakiwa na afya ya akili.
 
Mkuu MALILA, asante kwa jitihada zako pamoja na KANYAGIO katika kufanikisha mkutano huu. Wazo la kuwa na MENU naliunga mkono; lakini nafikiri ingekuwa baada ya kikao instead of Lunch, tuwe na DINNER au Lunch Time Hotel wanaandaa Lunch tu? Baadhi ya watu wakishapata LUNCH ya nguvu huanza KUSINZIA, aha aha..!!!
 
Yote yanawezekana, tunaweza kuamua watu wale dinner pale au lunch. kuna watu baada ya kufunga kikao watataka kuondoka fasta kuwahi makwao,japokuwa kuna wengine wataondoka pale saa nne usiku, mijadala na kufahamiana kutazuka zaidi baada ya mkutano. Niliona jinsi ilivyokuwa taabu baada ya kikao cha chai day ya kwanza. Kila mtu anataka dakika mbili aongee na mtu fulani,tukajikuta wote hatuondoki na kikao tumemaliza.
 
wanandugu naomba naomba mnipe muda leo ili nikashughulikie namba ya VODA ili hatimaye muweze kutuma hizo fedha kupitia MPESA (kwa sasa sina voda namba)... Au Malila una alternative nyingine?
 
wanajamvi
Nachukua nafasi hii kuwafahamisha kwamba kamati ndogo ya maandalizi ya mkutano wa "CHAI Day:fursa katika Kilimo na ufugaji" inapendekeza kwamba mkutano huu ufanyike JUMAMOSI tarehe 5 Februari 2011 kuanzia saa 8.00 mchana (narudia saa 8.00 kamilI MCHANA). pale Lunch Time Hotel iliyopo Mandela Road karibu na kituo cha Hostel na pia karibu na Ubungo External jijini Dar es salaam. Mwenye mawazo tofauti naomba aseme.

Mkutano utachukua takribani masaa 4. naambatanisha rasimu ya ratiba ili muweze kutoa mapendekezo yenu!!

Mkuu NewMzalendo; KANYAGIO alishatoa ratiba labda kama utakuwa na mapendekezo zaidi
 
Attachments

  • chai day - agenda (2).doc
    41 KB · Views: 45
Mkuu MALILA na KANYAGIO;

Sina uhakika kama MZUZU amepita hapa jukwaani hivi karibuni; ushiriki wake ungeweza kuleta changamoto zaidi kwa wadau kujikita katika kilimo cha Muhogo kutokana na fursa ya soko lililopo kupitia ile project yao ya ku-process muhogo ili kupata starch.
 
Back
Top Bottom