Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu?

Salma Rashid Kikwete

Nimefanya uchunguzi wa kina, na nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Salma Rashid Kikwete hana undugu wowote na Jakaya Mrisho Kikwete.

Alikozaliwa Salma ni mbali kabisa na Jakaya anakotoka, Yeye Salma anatoka ukoo wa Babu yake, mzaa mama yake na Rashid ambaye anatokea kwenye ukoo wa shangazi yake na Brother yake Salma kwa upande wa baba yeke mdogo na Kikwete ambaye siyo kikwete huyu Jakaya.

Hawa watu siyo ndugu ndio maana wakaoana.
 
Mwali, si waswahili wanasema kizuri kula na nduguyo? Sasa hapo na mkuu wa kaya ndio mswahili original! What would you

expect?
 
Last edited by a moderator:
Tuongee ukweli tu, unduguniosation na kubebana kwa siasa za sehemu nyingi ndo fasheni. Japo CCM imezidi hata CDM kuna undugunisation!
 
Zaidi ya hayo Ridhiwani Kikwete hana mpinzani Bagamoyo na Salma Kikwete hana mpinzani Lindi Mjini
 
Hatujifunzi lolote kutoka NCHI za KIARABU? Gadafi alipindua ufalme. Akaishia kuwa mfalme. Wanae wakawa na nguvu za ajabu. Yuko wapi sasa! Huyu Rais wa sasa wa Syria alimrithi babayake. Subirini muone atakavyoondoka madarakani. Hosni Mubarak wa Misri alikuwa na nguvu sana yeye na familia yake. Wako wapi sasa!
CCM ya sasa inayafanya mambo haya waziwazi. Tulidhani kingekuwa chama cha mfano. Akina CHADEMA wangeacha hiki walichokianza kwenye ubunge wa viti maalum.
 
  • Thanks
Reactions: bdo

nchi hii tabu kweli,ndugu mmoja akiwa kiongozi ndugu wengine wabadilishe kazi kabisa?,tutaendelea kulala sana tu hata siku baba zetu wakiwa viongozi tutalalama tu
. Taifa la walalamikaji hili.
 
Sophia Mnyambi SIMBA
Ulanga Agathon SIMBA
Connection na Idd Simba?

@Mwali

huyo wa kwenye red hana uhusiano na Simba.....

halafu pole sana kwa kukatwa jina lako......... ila ulikuwa hujui kuwa ccm ina wenyewe na wenyewe ndo hao? wengine waliobakia wasindikizaji tu? wanashabikia mambo wasoyajua?
 
Wakati mwingine watu wanafeli mitihani hivi hivi huku wanachekelea kuwa "wamepatia ile mbaya"....

Mwali kasema:


halafu akaongezea...

tena akaweka na weusi kuonesha msisitizo na sharti (kama umeona mengine).

Sasa ukiulizwa umeyaona majina hayo kwenye orodha ipi ya CCM...?

Hauwezi kunipangia cha kuandika! We mwenyewe kwa nini hauja comment kwenye mada husika hadi u comment kwenye post yangu...
Af kwa bahati mbaya kwa mtindo huo huo wa majibu yangu sijawahi kufeli
 
Kikwete ndo kaweka familia kabisa,ndo maana hajaenda UN General Assembly asimamie NEC huko khaaa.

Kama ilivyo kwa Mtei na Mkwe wake Mbowe au Ndesambulo na mtoto wake Lucy au Tundu Lissu na mdogo wake Christina Lissu au Slaa na mke wake.
 
Hizo hasira sasa sijui utaenda chama gani Chadema nako utakutana Tundu Lissu, Christian Lissu, Philemon Ndesamburo, Owenya Ndesamburo, Mke mkubwa wa Dr Slaa, Rose Kamili Slaa.

Vipi hawa sio ndugu zako Josephat Manyerere, Vicent Nyerere, Leticia Nyerere.

Hawa hawajapita bila kupingwa
 
majina tuu wakuuu kama mimi hapa tuna HENGE nyingi kweli mpaka tunaweza hata kuoana!
 
Siasa za bongo zimechakachuliwa tayari, imegeuzwa biashara kwani watu wanakuwa wanawekeza kwa ajili ya faida ya mbeleni. Mara utasikia hatukutanana barabarani mara ohh sikuweza kulala vizuri pale chuo kwa sababu ya kukijenga chama mara hujui chama kilipotokea na mengine mengi, yote haya ni ili asipigwe chini kwani. Tukitaka haya yaishe basi hawa wafanyabiashara wa siasa wakubali hasara kwa kuachia vyama viwe huru au la kinuke tuu, tuchapane hata miaka 20 ili damu mbaya iondoke kisha tuanze upya labda kizazi kijacho kitakuwa na siasa za kweli.
 
Jamani hadi sasa siamini jina langu limeurudishwaje, ila nadhani nitaumia wakati wa uchaguzi hasa wakishajua jina langu ni la kufanana tu na sitoki ukoo wao, ccm ina wenyewe
 
ukiwasikia majukwaani wanasema hawana udini, ukabila hata undugu haya yanatoka wapi? wa na ccm amkeni jahazi ndio linazama maana haya majina naona ni kifo cha chama huku mukiona kama KANU kenya ilikufa ndani ya Moi akiona na mtoto wamuasisi wa KANU kinyata leo hii ni viraka kwa IDM
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom