Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu?

Kikwete atanyaje sasa ikiwa hakuna Watanzania wengine wanaojotokeza kushindania nafasi zinazogombewa? Nalipata kusikia kuwa mtoto mwingine wa Kikwete alichaguliwa kuwa Mwenyekiti/Kamanda wa Chipukizi CCM Taifa...!
 
Mwali Namnukuu Yusuf Makamba (Katibu Mkuu Mstaafuwa MAGAMBA) "Mtoto wa dereva atakuwa dereva, mtoto wa mwanasiasa atakuwa mwanasiasa, na mtoto wa Padri!!! atakuwa Padri!!"..... mwisho wa kunukuu...
 
Last edited by a moderator:
Sio kwa bahati mbaya hata kama wengine watakuwa hawana undugu lakini wanapita kutokana na kufanana majina, CCM inawenyewe hivyo wengine wataingia kutokana na ujamaa, mambo haya yako hata nchi zilizoendelea kama Marekani......Bush senior......Bush Junior, Clinton hubby......Clinton wife.
 
Mwali.
Cha uhakika hapa ni kwamba Iddi Simba hana uhusiano wa kindugu na Sofia Simba. Haya ni majina tu yamefanana.
 
Sasa wewe unatupeleka kwingine UDINI nadhni hapo kinachozingatiwa ni UWEZO wa kazi na si DINI wala KABILA LAKE.
 
CCM isiyo na Udini wala ukanda hii hapa:Mawaziri wakuu 10 tangu uhuru 8 kati yao wakristo, J.K. Nyerere, Joseph Sinde Warioba, Cleopa Msuya, Fredrick Sumaye, Samwel John Malecela, Edward Lowassa, na Mizengo Kayanza Peter Pinda na WAISLAMU wawili tu Salim Ahmed Salimu na Rashid Mfaume Kawawa (Hii si bahati Mbaya). CCM NI CHAMA CHA KIDINI!

Ha ha ha.......halafu majina ya wachaga hapo huwezi kuyaona mengi yapo TRA @Mtoa Mada
 
Last edited by a moderator:
Naongezea:
1. Dr. Hussein Ali Mwinyi kapitishwa kupitia Z'bar, je ana undugu wowote na Ali Hassan Mwinyi?
2. January Makamba kapita, kuna uhusiano na Yusuph Makamba aliyekua katibu mkuu wa chama
3. Nimeona pia jina la Mboni Mhita, ana uhusiano na waziri wa zamani Zabein Mhita?
 
Nifuatilie wapi ebu tuambie kwa faida ya JF Mbowe aligombea na nani cheo cha uenyekiti wa taifa...usilete mapenzi kaka.
 
Sijui niseme umenifurahisha au kinyume chake!, ila umenikumbusha maisha ya zamani kijijini, unajua wazazi siku zile walijitahidi kwenye uzazi, watoto wanakuwa wengi kiasi kwenye familia-kuna watoto kama 7 au zaidi-ilitegemea majaliwa.

Basi mama na baba wakitoka kwenda kwenye shughuli za kawaida, tunabaki watoto, baada au katikati ya kufanya kazi za nyumbani, mkubwa ataanza-labda kuna mkungu wa ndizi umeiva-hapo wazazi hawajaturuhusu kuchukua! ataanza mmoja hasa yule mkubwa, atamega moja, mdogo wake akiona naye anakwenda anamega 2, anayefuata nae anamega 3.

Basi hilo zoezi litaendelea hadi mkungu unaisha-ngoma ipo wazazi wakirudi.
sasa na wewe unajustufy kwa kuona nae fulani alifanya, nan ni.... tunachouliza hapo is it fair?, sio na nanino nae yuko hivyo.
 
Mwali mwingine ni Mboni Mhita ana connection na Zabein Mhita (alikuwa naibu waziri elimu ya juu na sayansi na sasa ni mbunge wa kondoa) na yule aliyekuwa mkurugunzi wa TMA
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu nakusubiria umwage ute ubwabwaje oh CDM ni chama cha familia wakikaa wote ni wa familia moja!
 
Vipi Mboni Mhita ana connection na Zabein Mhita (ni mbunge wa kondoa na aliwahi kuwa naibu waziri) au yule Mhita aliyekuwa mkurugenzi wa TMA, ?
 
Back
Top Bottom