Chaguzi Ndogo Tatu 2012 ni Dhahiri

Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

MODS, msaidieni huyu jamaa kubadili jina.
 
Hizo ni ndoto za mchana kwa chadema. Sasa hivi hatupotezi jimbo hata moja.
Majimbo matatu muandae 12bil na mahindi na sukari vya msaada bila kusahau jeshi la polisi na usalama wa taifa ili kuvipata vinginevyo hamuambulii kitu..
 
Aisee wabongo tuna mawazo...... yaaaaaaani tunawaza somebody atakufa llini tuchukue kiti!!!!!........ mabvu zangu sina..... huyo jamaa anyejiita mshenzi........inawezekana kweli. Ila nimeipenda aiseeee
 
Sasahivi inaenda kwa chadema. Kwa ishu zao za ukabila na kulisishana uwenyekiti ka utawala wa kifalme lazima kiwa cost. Chadema wahasisi wao wakina Mtei na Makani ndio wanapanga nani apewe uongozi na nani asipewe. Hebu angalia historia ya uwenyekiti wa chadema alianza Edwin mtei akaja akamuachia Makani ambaye ni shemeji yake then sasa hivi ni mbowe ambaye ni mkwe wa Edwin mtei. Uchaguzi uliopita Zito alijitosa kugombania Edwin mtei na Bob makani walifunga safari mpaka Dar kuja kumuomba Zito asigombee. Sasa uchaguzi ujao Zito hato kubali lazima atagombea na ndipo chadema itakapo kufa.
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

Na wewe utakufa mwaka 2012 japokua sio vizuri kukutabiria kifo! Pole sana
 
kusema ukweli kabisa na kiti cha uraisi kitakuwa wazi kabla ya 2015, but how mtu asiniulize.jamaa hamalizi miaka mitano.
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

Bila shaka wewe utakuwa mwehu.
 
Mimi nimeota kiti cha urais kiko wazi! Ni ndoto au ni kweli wana JF? Nijuzeni mlio TZ hasa karibu na magogoni

kweli kilikuwa wazi ila mwenyewe kesharudi alikuwa uganda.

mmesahau na jimbo la Arusha mjini kwa kamanda. yaani mcc wanataka kulirudisha hilo jimbo kwa gharama yoyote hata kwa kumwaga damu tena. subirini kesi iishe
 
mkuu vipi nafasi za kazi huko abroad zitapatikana kwa maana huku Tanganyika zimekuwa adimu sana.

hivi huyu abrodi atarudi lini? au nimekosea ni nchi mpya au jina la mtu maana nimeangalia kwenye
ramani sijaiona
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

1. Moduli-Lowassa
2. Bariadi-Chenge
3. Urambo-Sitta
4. Mwakyembe
5. Hamadi (Zanzibar)
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

kama jina lilivyo wewe mshenzi si kidogo. kuugua sio kufa japo kifo hakikwepeki. unaodhani ni wazima kwa afya wanaweza kuanguka na ndege wakati wakienda kula siku kuu Moshi, kigoma mbeya mwanza. yote mapenzi ya mungu. Tuombeane afya njea ili tulijenge taifa. Zitto alopopelekwa India wa tanzania wengi walimuombea afya njema apone haraka. Utoto unatuponza kwa mambo ya msingi. usimtabirie jirani yako kifo hata kidogo. NAPITA KWA MACHUNGU.
WHAT IS UBUNGE KULINGANISHA NA MAISHA YA BINADAMU?
 
Back
Top Bottom