Chaguzi ndani ya ccm

jonaleemanson

Member
Sep 21, 2010
73
70
tukiwa bado tupo kwenye nngwe nyingine ya chaguzi za nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi tunashuhudia bado makundi ni janga na labda chanzo cha mkanganyiko unaokiwehusha chama hichi tawala.mbaya zaidi tunashuhudia makundi makubwa mawili yanayojipambambanua "wapinga ufisadi" na wengine kuwa mafisadi.chama lazima kifikirie kwa mapana na kufanya maamuzi yatakayorudisha imani kwa watanzania na kuhakikisha viongozi watakaopewa nafasi hizo ni wale wasio wabinafsi, mafisadi na wenye uzalendo na nchi yao.
 
Hakuna imani watakayoweza kuirudisha kwa wananchi hao magamba,sana sana wanachofanya ni kuchanga karata upya tu,lakini usitegemee jipya kwasababu game wameshapanga na mwishowe utalamba garasha tu.Hakuna msafi ccm,ukiweka imani kwao na kutarajia mabadiliko,itakuwa sawa na ile hadithi ya fisi na mkono wa binadamu.
 
tukiwa bado tupo kwenye nngwe nyingine ya chaguzi za nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi tunashuhudia bado makundi ni janga na labda chanzo cha mkanganyiko unaokiwehusha chama hichi tawala.mbaya zaidi tunashuhudia makundi makubwa mawili yanayojipambambanua "wapinga ufisadi" na wengine kuwa mafisadi.chama lazima kifikirie kwa mapana na kufanya maamuzi yatakayorudisha imani kwa watanzania na kuhakikisha viongozi watakaopewa nafasi hizo ni wale wasio wabinafsi, mafisadi na wenye uzalendo na nchi yao.
Siku tisini za Nepi bado kwisha.
 
CCM hakuna mpinga ufisadi, si 6 wala Mwakyembe, wota wanaropoka tu kutafuta sifa kwa wananchi. Huwezi kuchukizwa na harufu mbaya ya choo halafu ukabaki kukaa chooni na kulia chakula huko!
 
hivi kwanini Salma na ridhiwani wamepita bila kupingwa?
nasubiri uchaguzi ujao wa ccm kama watapita bila kupingwa wakati vasco dagama atakuwa anaishi bagamoyo!
 
ccm hakuna mpinga ufisadi, si 6 wala mwakyembe, wota wanaropoka tu kutafuta sifa kwa wananchi. Huwezi kuchukizwa na harufu mbaya ya choo halafu ukabaki kukaa chooni na kulia chakula huko!

na tumewashika pabaya (nyetini) nawaombea wagombane mpaka basi ili 2015 lichama hili fisadi limfie jk mikononi mwake
 
Naona kundi la MAFISADI ndio wameshikilia CCM hadi hivi sasa na kwa upande mwingine ni lile kundi la pili la WAPINGA UFISADI ambao hivi sasa, kwa uchungu mkubwa, wanaonekana kushikilia makali ya panga kwenye chama hicho kikongwe.

tukiwa bado tupo kwenye nngwe nyingine ya chaguzi za nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi tunashuhudia bado makundi ni janga na labda chanzo cha mkanganyiko unaokiwehusha chama hichi tawala.mbaya zaidi tunashuhudia makundi makubwa mawili yanayojipambambanua "wapinga ufisadi" na wengine kuwa mafisadi.chama lazima kifikirie kwa mapana na kufanya maamuzi yatakayorudisha imani kwa watanzania na kuhakikisha viongozi watakaopewa nafasi hizo ni wale wasio wabinafsi, mafisadi na wenye uzalendo na nchi yao.
 
Sidhani kama watarudisha imani kwa wananchi wengi kwa sasa. Chama kimeshatekwa na mafisadi.
 
Katavi, ushindi ndani ya CCM hivi sasa ni kati ya UADILIFU NA UFISADI kwenye mzani; period.
 
hivi kwanini Salma na ridhiwani wamepita bila kupingwa?
nasubiri uchaguzi ujao wa ccm kama watapita bila kupingwa wakati vasco dagama atakuwa anaishi bagamoyo!

kwanini wananchi wa mwnza na ilemela wamepinga wazi wazi maamuzi ya kamati kuu ya chadema ya kuwavua uanachama madiwani wao?manake hapo ni kwamba ndani ya chama kuna udikteta.
 
na tumewashika pabaya (nyetini) nawaombea wagombane mpaka basi ili 2015 lichama hili fisadi limfie jk mikononi mwake

mtasubiri sana,matokeo yake ni kusambaratika kwenu kuanzia ilemela,mwanza na baadae arusha na morogoro.
 
Sidhani kama watarudisha imani kwa wananchi wengi kwa sasa. Chama kimeshatekwa na mafisadi.

kama wale mafisadi wa manispaa ya moshi wanaotumia mamilioni ya kodi za wananchi kwenda kufanya matembezi yasiyokuwa na tija huko rwanda
 
Back
Top Bottom