Chaguo la spika bunge lijalo

DoubleOSeven

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
661
143
Kwamba UFISADI ni adui wa nne na kwamba MAFISADI wahusika sana na kudorora kwa services nyeti Bongo havina ubishi tena katika uelewa wa wengi.
Baada ya kushuhudia MAFISADI wakinadiwa na pia wao wenyewe kujinadi kugombea Ubunge na viti vingine, inatia wasiwasi sana kama yafuatayo yatatimia:
KWANZA: Wizi wa kura ufanyike kama inavyokusudiwa
PILI: Ushindi wa asilimia semanini ufikie reality
TATU: Namba ya viti vya UPINZANI bungeni iwe ndogo mno kiasi cha kushindwa ku-influence uchaguzi wa Spika
NNE: MAFISADI watimize dhamira yao kukamata nchi

....Kwa vile yule Mzee wa VIJISENTI ameanza kuusaka USPIKA tayari hata kabla ya Uchaguzi kufanyika na kwa kuzingatia nloandika hapo juu, hypothetically, USPIKA wa Mzee wa vijisenti si ndo kuishia kwa Bongo kuwa Banana republic per se?
 
Back
Top Bottom