Chagua moja

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
moz-screenshot-3.png
moz-screenshot-4.png
moz-screenshot-5.png
:bathbaby:Umejitayarisha kwenda kuoga umevaa taulo
MAMAMKWE na MKEO wamekaa katoto chako kadogo kana miezi kama 8/9 kanacheza una kachukua na kukirusha ghafla taulo lina dondoka mtoto yupo hewani UNADAKA NI MTOTO AU TAULO? NA MAMAMKWE YUPO MBELE
moz-screenshot-6.png
 
uchungu wa mwana?kwani mama mkwe hajawahi kuona ?:shut-mouth:
 
Choo cha nje unaendje kuoga na taulo tu bila kuvaa kitu ndani?

obvious adamdaka mtoto na mama mkwe ataangalia pembeni tu,
 
Mi ntaokota taulo, kwa kuwa ni mtaalam wa danadana katoto ntakapoga kwa mguu katarudi juu, kisha baada ya kujifunga ndio ntakadaka.

Kiuhalisia huwezi kuanza michezo na mtoto wakati uko nusu uchi mbele ya mama mkwe
 
Huyo mama mkwe unayemvalia taulo.......?
mbona hata akiona hamna noma? Unadaka mtoto kwanza.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom