''Chagua moja, JF au mimi''

ila hapo ndipo mnapokosea, hadi kitandani kweli wewe umekazana na jf tu?.. inabidi mpeane muda wenu wa faragha maana sehemu ile ndio mnapoweza ongea hata mipango mingine ya maisha, mie nikiingia jf kitandani ujue niko mwenyewe na hajarudi au amesafiri, akiwepo narushia huko laptop na simu nazima, naacha ya home tu
 
hata vitabu vya Mungu ivnasema " Ya Mungu mpeni Mungu na ya Kaisari mpeni Kaisari". hivyo hata wewe Bibie apewe nafasi yako ambayo ni ya muhimu na JP ipewe nafasi yake. Fanya hivyo usiwekeze zaidi JF utawezakosa yote.

Hapo kwenye nyekundu ndo nini tena????
 
ina maana umeshindwa kupanga muda wako vizuri kweli,mke muhimu kaka .kaa naye mpange mambo vizuri.
 
Ni kweli usipoangalia JF ni ulevi mwingine, gawanya muda wako ili JF uingie lkn pia lazima upate muda wa kuongea na bidada na kumhudumia pia
 
naomba daily routine yako, nikutengenezee ratiba itakayomeza activities zako zote...
 
Wewe rudi kwa mkeo sio kila kitu JF usidanganywe na faceless individuals. Utalia shauriyako
 
Bujibuji 21:19 16th May
2011
Mama watoto wangu
ananibana sana, hataki
kuniona niko busy na na
simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili
niingie JF ni lazima niingie
toilet, maana kinyume na
hapo ni ugomvi mkubwa,
simu zinavunjwa na amani
inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu
yako.
 
Bujibuji 21:19 16th May
2011
Mama watoto wangu
ananibana sana, hataki
kuniona niko busy na na
simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili
niingie JF ni lazima niingie
toilet, maana kinyume na
hapo ni ugomvi mkubwa,
simu zinavunjwa na amani
inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu
yako.

inaelekea hili tatizo wengi linawakumba. Tengeni muda wenu vizuri msiwakwazwe wenzenu.
 
Ni kauli ya mpenzi wangu toka juzi hatuna story anasubiri jibu, nichague kuwa na yeye au jamii forums.....nakiri kuwa toka nimejiunga na JF ni mimi na simu,..simu na mimi, nikiamka jf, nikienda toilet jf, nikiwa na kazi zangu pia jf nipo nayo, nikilala jf pembeni, yaani sitaki kupitwa na kitu humu jf...sasa bibie kaseemaa wee mwishowe kachoka na kasusa kushiriki chochote na mimi mpaka nimpe jibu eti either nibaki na yeye au niendelee na jf....nifanyeje wanajamvi? Kiukweli nampenda sana lakini at this point kuiacha jamii forums ni ngumu pia...

Ninao msaada kwako. Nakuelekeza kwa Daktari. Atakushauri upi ni Uamuzi sahihi. Mtafute mtu anaitwa FMES mwanachama mkongwe hapa JF. Aliwahi kuwa katika njia-msalaba (crossroads) na ikampasa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na kutokana na sababu mahsusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom