Chagua kufanyakazi upate hela kihalali achana kutegemea nguvu za giza-p funky

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Nimekuwa nikisikiliza porojo za clouds fm na mawaziri /wabunge na hata rais walipopelekewa ujumbe warekodiwe chagua chagua chagua ......u dk,,chagua 330,000 za wabunge kuna mmoja amenikosha si mwingine ni kijana pfunky yeye akadai chagua kufanyakazi kwa bidii achana kutegemea nguvu za giza
hii ni pamoja
na uchawi
waganga
na laana zote za shetani
big up pfunky ila ungenipa mie nichague
ningesema chagua kuacha majaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........................upate hekima nyingi duniani
 
Back
Top Bottom