Chegge adukuliwa akaunti yake ya Instagram

1475156407691.jpg
 
Wanajamvi nimeshangaa kuona account ya chegge ya Instagram wamei Huck ,,,, iv inawezekana mtu akakamatwa alie fanya ivo au vp wakuu.
50/50 chance inategemea na mazingira na resources alizotumia na ni nani...kukama n ngumu kama ilivo ngumu ku hack.....nothing is impossible....a good hacker is not easy to trace n it takes a hacker to trace a hacker..(ethical hacker)
 
Thanks much mkuu tunahitaji MTU anaefungua wasio elewa kama huyu
 
Back
Top Bottom