Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Unaintroduce subject halafu unasubiria mwingine atoe ufafanuzi?Uliyemquote.
Unaintroduce subject halafu unasubiria mwingine atoe ufafanuzi?Uliyemquote.
Yes, but you can't project based on projection's projections.
One step at a time please. No quantum leaps this side of the atom.
If you can't do it others can...
Stay aside and see how it's done.
Unaintroduce subject halafu unasubiria mwingine atoe ufafanuzi?
Tatizo is not so much that it can't be done as is the economic sense it will make even if it will be done.
Tunataka system yenye utmost utility, hatutaki blanket welfarism.
Watu gani hao? Unaweza kuwataja au unafanya vast generalization tu? Mimi nimepinga manunuzi ya jet na rada na mengi yanayofanana na hayo, na napinga elimu bure kwa wote. Sasa nisingependa kuwekwa kundi moja na watu hao ambao hawana majina.
Wewe ushahukumu hata kabla haijafanywa....hujui kwa uhakika kuwa it won't make economic sense. You are just making an ass of 'u' n 'me'
Mnafikiri mna promote elimu sawa kwa wote kumbe mnapromote more rural-urban inequity pamoja na kuwapa advantage zaidi wanaojiweza at the expense of wasiojiweza.
Nimefafanua vizuri, kwa mifano, jinsi gani utajiri huu wa natural resources usivyo liquid na usivyoweza kutupatia mchele dukani. Ufafanuzi gani zaidi unataka ?
The country is not poor..tunao tu vingunge wafuajaji wenye mawazo finyu ambao wamshindwa kukonvert rasimali kwenda katika terms zingine za valuables ambazo zingeweza kufanya mambo mengine. Lakini in terms of utajiri ktk larger picture sisi ni matajiri sana tuuu.
Kiranga,
Hao wenye uwezo unaotaka walipie ni wangapi TZ? At least in rough percentage estimation?
Hata kama ni 1%, hii ina maana 1% wakilipia, system itakuwa na uwezo wa ku absorb 1% more ya wale wasioweza kujilipia, au (kwa mfano kama tukisomesha wote, asiwepo asiyejiweza ambaye atakosa nafasi) hata kupeleka hizo funds katika kusomesha wasiojiweza vyuo vikuu, au hata kutumia hizo funds katika social services nyingine.
Ni rahisi sana ku dismiss kwamba wenye uwezo ni wachache, lakini je ushawahi kujiuliza ungejisikiaje kama wewe ndiye ungekuwa huna uwezo halafu mwenye uwezo kachukua nafasi yako ?
Leo tukisema tuue Mtanzania hata mmoja utasema mtu mmoja ni idadi ndogo sana ukilinganisha na watanzania ? Vipi kama tukiamua kwamba mtu mmoja huyu awe wewe?
Kitu cha kujadili hapa, ni kwamba mwenye uwezo kujilipia kutolipishwa ni sawa au si sawa, one only has to look at our private schools and the type of lifestyles some kids live, hivi tunataka kujitwika mizigo ya kusomesha wote hawa bila sababu ya msingi ?
Mkuu, naomba unisaidie kutenganisha kati ya masikini na tajiri katika kutoa huduma za jumla kama elimu.Mali bila daftrai, hupotea bila habari. Mnataka kuleta free for all scenario, hapo hapo mnasisitiza financial discipline kupunguza wizara and all, contradiction.
Kama kweli mnataka financial discipline na strict resource management waacheni wenye uwezo wajilipie.
Mkuu, kiuchumi ni very economic kuhakikisha kuwa elimu ya kutosha kwa watu wote inapatikana. Swali lako ni sawa na kusema, is it economical to provide security services to all/ Or os it economical to provide health care to all? To me, the answer is YES. It is economical to eradicate ignorance to any society that is serious and strives for development and security.Mimi tatizo langu, kama nilivyowahi kusema kabla, si kwamba haiwezekani, tatizo langu ni kwamba, is it economic? Is it the best use of our resources kuwasomesha hata watu wanaoweza kujilipia gharama zao kwa kuwapa elimu ya bure?
Mkuu, naomba unisaidie kutenganisha kati ya masikini na tajiri katika kutoa huduma za jumla kama elimu.
Nimejaribu kufukiria, nadhani kama ingewezekana kutenganisha utoaji huo wa huduma na bado lengo la kuwa na jamii iliyoelimika vya kutosha ikafikiwa, itakuwa jambo jema zaidi. Ila sijaweza kubainisha namna ya kutenganisha watu wawili hawa, mmoja masikini na mwingine tajiri. Ni vigezo gani vinavyoweza kutumika kama controls za kumfanya tajiri asitake kufaidika na huduma inayotolewa kwa masikini? Na ni umasikini kiasi gani unaohitajika kumfanya mtu afuzu kupata huduma hiyo ya bure?
Nadhani matajiri wa kweli watapenda watoto wao wasome katika shule bora zaidi kadiri wanavyoweza. Kama shule bora zaidi zitakuwa ni zile za serikali, basi nadhani huko ndiko kila mtu atakapotaka mwanae aende. Ila najua kuwa si rahisi kwa shule binafsi kukubali kushindwa ubora na shule za serikali. Hivyo watajitahidi kuongeza ubora wa elimu wanazotoa. Inawezekana na gharama zikaongezeka pia kiasi cha kufanya wengi wa hao wanaoonekana matajiri pia kushindwa kuzimudu.
Elimu ndio chanzo cha maendeleo ta Taifa lolote. Wachina walichukua hatua za makusudi kusomesha watu wao ili waweze kujenga nchi yao. Hivi sasa, China ni nchi tajiri katika nafasi ya pili duniani. Juzi juzi tu walikuwa kati ya nchi masikini. Kwanini sisi tunadhani hatutakiwi kuchukua hatua hizo muhimu?
Kuna nchi duniani (mfano UK) wao huzalisha wataalamu na kuwasambaza duniani. Hupata pato kubwa sana kutokana na uuzaji huo wa services. Kenya pia ina wasomi wengi tu ambao pia huchangia sana pato la nchi yao. Mwaka jana peke yake, tathmini za pesa zilizokuwa zikitoka wa Wakenya waishio abroad ilikuwa ni wastani wa dollar $1bil. Hii si pesa ndogo hata kidogo.
Mkuu, kiuchumi ni very economic kuhakikisha kuwa elimu ya kutosha kwa watu wote inapatikana. Swali lako ni sawa na kusema, is it economical to provide security services to all/ Or os it economical to provide health care to all? To me, the answer is YES. It is economical to eradicate ignorance to any society that is serious and strives for development and security.
Wananchi wengi hufa kwa maradhi yanayotibika kwa kutokujua tu. Elimu duni ina gharama sana kwa Taifa kuliko kuangamiza ujinga. Jamii yenye watu wajinga huigharimu sana serikali yao katika kila nyanja.
Remember CCM is spending 50 billion just on the presidential campaign. All we need is twice that for free education!!!!!
Najua tofauti iliyopo kati ya funding na providing.Tofautisha ku provide na ku fund, ku provide si lazima u fund. Unaweza kuwa na shule ina nafasi, umeweka nafasi hizi za masomo, asiye na uwezo atasomeshwa na serikali, mwenye uwezo atajilipia. Ume provide access to education for all, huja fund kwa wale wanaoweza kujilipia.
Tatizo ujamaa umetudumaza tunafikiria kusaidiwa na serikali tu, hata pale msaada huu usipohitajika.
Ndiyo maana hata watu kusafisha mazingira ya nje ya nyumba zao watakwambia "serikali this, serikali that". Hatuendelei hivyo.
Hili la kutaka wanaojiweza walipiwe gharama za elimu na serikali halina tofauti na mtu mwenye nyumba yenye uwanja mchafu, ana uwezo wa kufagia, lakini anataka serikali imnunulie ufagio. Same thing.
Mtu ana uwezo wa kufanya kitu wewe unamdekeza eti serikali imsaidie.