Chademaaa.... KAMATA MWIZI MEEEN...!!

Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
776
306
Ukiacha kauli mbiu ya Peoples poweeeerrr tumepata kauli mbiu mpya kutoka kwa mch. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini.... na wezi wenyewe wa kukamata ni ccm, Chademaaa..... Kamata mwizi meeeeeeeeeen....
 
Ukiacha kauli mbiu ya Peoples poweeeerrr tumepata kauli mbiu mpya kutoka kwa mch. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini.... na mwezi mwenyewe wa kukamata ni ccm, Chademaaa..... Kamata mwizi meeeeeeeeeen....
Mkuu ulimsikiliza Mzee Hamisi kwenye kipindi cha meza ya busara WAPO Radio siku ya Jumanne? Aliyanena maneno haya! Nilicheka sana.
 
Ukiacha kauli mbiu ya Peoples poweeeerrr tumepata kauli mbiu mpya kutoka kwa mch. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini.... na mwezi mwenyewe wa kukamata ni ccm, Chademaaa..... Kamata mwizi meeeeeeeeeen....
Let me be honest, this is a zero thread. Inatujazia server bure, Mods iondoeni.
 
mambo mengine ni ya kusikia na kuyaacha huko huko, hili nalo umeona linafaa kuchangia na wenzio. Official slogan ya Chadema ni Pipoz Pawa, na inaendana na wakati tulionao.
 
MNYISANZU;3784713]Let me be honest, this is a zero thread. Inatujazia server bure, Mods iondoeni.

Frankly speaking hukutakiwa kuwasha hata server yako ili upate ujumbe huu, kalale upunguze stress ulizonazo...
 
Let me be honest, this is a zero thread. Inatujazia server bure, Mods iondoeni.
Una matatizo wewe... Inaelekea na wewe ni MWIZI ndio maana inakuuma. We unajua capacity ya servers za JF? Umeona wapi Alert inayoonyesha kuwa server inakariboa kujaa?

Huu umagamba wenu umezidi, mtakoma mwaka huu TUNAKAMATA MWIZI MEEEEEEEEN
 
Mkuu, kiukweli thread yako haina mashiko.
 
Una matatizo wewe... Inaelekea na wewe ni MWIZI ndio maana inakuuma. We unajua capacity ya servers za JF? Umeona wapi Alert inayoonyesha kuwa server inakariboa kujaa?

Huu umagamba wenu umezidi, mtakoma mwaka huu TUNAKAMATA MWIZI MEEEEEEEEN
Mkuu, tuache ushabiki, thread hii haijakidhi kiwango kabisa cha kuwa posted humu.
 
ha ha ha ha.....nayo pia ni kauli mbiu......people's poweeeeeeeeeerrrrrrrr............kamata mwizi meeeeen, wataikimbia hii nchi vere soon...wezi ni wengi
 
Let me be honest, this is a zero thread. Inatujazia server bure, Mods iondoeni.
Huna sababu ya kupagawa mkuu. Humu JF ni full funny. Yaani wewe ukitaka za kistaarabu, kuna wengine wanataka za aina hii. So usizuia starehe za watu.
 
ukitupa jiwe gizani ukasikia mguno au kelele ujue mlengwa keshalengwa.
 
Back
Top Bottom