CHADEMA, Zitto na hadithi ya 'baniani mbaya'...

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Kuna msemo wa kiswahili unasema baniani mbaya kiatu chake ni dawa,binafsi si mtaalam sana wa kiswahili lakini msemo huu naona unatusaidia kuyatazama mahusiano na sintofahamu za mara kwa mara baina ya katibu mkuu mdogo wa chadema bwana zitto kabwe na chama chake kinachojipambanua(kwa jina tu)kama ni chama cha DEMOKRASIA pamoja na maendeleo kiujumla.

ZITTO KABWE kabwe ni kama vile amekua akitumiwa na watu wa chadema kama condom,kwa maana hutupwa baada ya matumizi yake kuisha.Nasema hivyo kufuatia mtitiriko wa matukio mbali mbali ambayo amekua akikumbana nayo mwanasiasa huyo kijana na machachari.ZITTO mara kwa mara amekua akiibua hoja nzito zinazoihenyesha serikali toka alipoingia bungeni for the first time kiasi cha kujipatia umaarufu mwingi hasa kwa wapiga kura vijana yeye binafsi zitto kama zitto na pia chama chake mfano katika bunge lililopita zitto hapa kwa kuepuka fitna nimtaje pia bwana slaa,kwa pamoja walifanya kazi nzuri sana bungeni kila mtu anafahamu,na hivi karibuni zitto tena aliiingisha serikali ya ccm mpaka kukaribia kuiangusha kwa kutishia kumng'oa waziri mkuu madarakani,japo lengo halikutimia lakini serikali ilitikisika na kuifanya chadema izidi kupata umaarufu kupitia mgongo wa huyu huyu zitto.

Lakini tatizo linakuja pale tu zitto kama mwanasiasa ambae kazi yake inaonekana kwa alama mbalimbali na sote tunaikubali hata kimoyo moyo tu anapotaka kujaribu kuomba ridhaa ya chama chake kugombea nafasi iliyo wazi ya kukiwakilisha chama chake kwenye nafasi ya mgombea urais au kujaribu kuomba nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama kilichomkuza,kuna watu hawapendi tena sio hawapendi awe mgombea urais basi,wao hawapendi hata afikirifikirie kuomba kupewa nafasi hiyo,wanajaribu kumziba mdomo kwa kila mbinu chafu na safi,wanamuonyesha kama mwanasiasa tamaa asieambilika wala kusikia la mkuu,hali hii inakera watu wengi waumini wa demokrasia ya kweli.kwanini zitto anakua mzuri tu wakati anapofanya kazi yake ya upinzani sawasawa kwa kuihenyesha serikali lakini anapotaka kutumia haki yake tena kwa njia halali kabisa kuna watu hawapendi?kwanini chadema imekua na inataka kuendelea kumtumia zitto kujipatia umaarufu wa kisiasa lakini haitaki zitto aombe nafasi ya kushika hatamu za uongozi au kuomba kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye urais?je kinahisi hana uwezo wa kushawishi?lakini mbona wengi wamejiunga na chadema kutokana na kazi nzuri ya zitto na bwana slaa pia huko nyuma?TAFAKARI,MWISHO WA SIKU UTAGUNDUA ZITTO BANIANI MBAYA NDANI YA CDM LAKINI KIATU CHAKE DAWA!
 
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.

KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
TUNDU LISSU
JOSHUA NASSARI
ROSE KAMILI
 
Macho yanauma kusoma ujuha wa habari kama hii.

Lini umesikia CHADEMA ikimponda Zitto? Kama sio kuchanganywa tu ID fake za humu JF.

Hey boy Be a guy.
 
bwana shilole huwa unasoma magazeti?soma hii kutoka kwenye gazeti la mbowe:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.

Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.

Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C

Source: Gazeti la freeman mbowe-Tanzania Daima
 
Wewe Subiri 2015 ndo utajua wimbi la kitintale lina maana gani, Kuna watu wachache sana wanaomili ID nyingi humu kijiweni wamejikabidhi Hatimiliki feki ya CDM kuamua nani agombee Urais ngoja uone mziki wa Zitto huko mtaani sio mtandaoni, kwani 2010 jamaa c alipewa 70 ya kura za Urais humu JF kumbe ni wao wenyewe wamejifungia kinondoni manyanya wanachezea mtandaoni, Nenda geita, Peramiho, mazwi sumbawanga , Ilulangulu tabora, milima ya uluguru ndo utajua ZITTO ni nani? T 2015 ZZK!
 
NA HII NI KUTOKA FACEBOOK PAGE YA ZITTO,ANASEMA HIVI:

''nasubiri kwa hamu kubwa mkutano wetu wa leo hapa karatu. jimbo ambalo CHADEMA imeliongoza vipindi vinne mfululizo. Ngome yetu haswa. Nitazungumzia Taarifa ya kamati ya ngwilizi, Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na ulazima wa kuiondoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na kutokomeza umasikini kwa kupambana na ufisadi na kukuza uchumi wa vijijini''.
mwisho wa kunukuu.

Madudu makubwa yamegunduliwa katika mradi wa maji wa KAVIWASU ...mwenyekiti wa mradi ambaye ni diwani wa chadema naye anafanya biashara ya kuuza maji. Double standards! ....
Uadilifu na uwajibikaji ni somo.

wakosoaji wa zitto mngependa zitto afanye nini labda muone anatosha?kwanini msiwaadame watu kama huyu diwani muuza maji kuliko kupambana na mtu ambae amekifanyia mengi chama kiasi cha kukipa umaarufu?acheni kumsakama zitto unless kama ipo ajenda ya siri au labda tatizo ni dini yake au kabila lake?
 
Wangeanza magamba kwanza kama kweli wanaijua demokrasia, Wanamtumia cha matusi Lusinde kisha wanamwaga ujumbe wa NEC, Filikunjombe nae kwa kuwa alitumia haki yake kikatiba kutia saini ya kumng'oa waziri mkuu nae kaonekana mwiba mchungu kwa magamba kachinjiwa baharini, Mkono mmmmh sisemi..........!
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema baniani mbaya kiatu chake ni dawa,binafsi si mtaalam sana wa kiswahili lakini msemo huu naona unatusaidia kuyatazama mahusiano na sintofahamu za mara kwa mara baina ya katibu mkuu mdogo wa chadema bwana zitto kabwe na chama chake kinachojipambanua(kwa jina tu)kama ni chama cha DEMOKRASIA pamoja na maendeleo kiujumla.

ZITTO KABWE kabwe ni kama vile amekua akitumiwa na watu wa chadema kama condom,kwa maana hutupwa baada ya matumizi yake kuisha.Nasema hivyo kufuatia mtitiriko wa matukio mbali mbali ambayo amekua akikumbana nayo mwanasiasa huyo kijana na machachari.ZITTO mara kwa mara amekua akiibua hoja nzito zinazoihenyesha serikali toka alipoingia bungeni for the first time kiasi cha kujipatia umaarufu mwingi hasa kwa wapiga kura vijana yeye binafsi zitto kama zitto na pia chama chake mfano katika bunge lililopita zitto hapa kwa kuepuka fitna nimtaje pia bwana slaa,kwa pamoja walifanya kazi nzuri sana bungeni kila mtu anafahamu,na hivi karibuni zitto tena aliiingisha serikali ya ccm mpaka kukaribia kuiangusha kwa kutishia kumng'oa waziri mkuu madarakani,japo lengo halikutimia lakini serikali ilitikisika na kuifanya chadema izidi kupata umaarufu kupitia mgongo wa huyu huyu zitto.

Lakini tatizo linakuja pale tu zitto kama mwanasiasa ambae kazi yake inaonekana kwa alama mbalimbali na sote tunaikubali hata kimoyo moyo tu anapotaka kujaribu kuomba ridhaa ya chama chake kugombea nafasi iliyo wazi ya kukiwakilisha chama chake kwenye nafasi ya mgombea urais au kujaribu kuomba nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama kilichomkuza,kuna watu hawapendi tena sio hawapendi awe mgombea urais basi,wao hawapendi hata afikirifikirie kuomba kupewa nafasi hiyo,wanajaribu kumziba mdomo kwa kila mbinu chafu na safi,wanamuonyesha kama mwanasiasa tamaa asieambilika wala kusikia la mkuu,hali hii inakera watu wengi waumini wa demokrasia ya kweli.kwanini zitto anakua mzuri tu wakati anapofanya kazi yake ya upinzani sawasawa kwa kuihenyesha serikali lakini anapotaka kutumia haki yake tena kwa njia halali kabisa kuna watu hawapendi?kwanini chadema imekua na inataka kuendelea kumtumia zitto kujipatia umaarufu wa kisiasa lakini haitaki zitto aombe nafasi ya kushika hatamu za uongozi au kuomba kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye urais?je kinahisi hana uwezo wa kushawishi?lakini mbona wengi wamejiunga na chadema kutokana na kazi nzuri ya zitto na bwana slaa pia huko nyuma?TAFAKARI,MWISHO WA SIKU UTAGUNDUA ZITTO BANIANI MBAYA NDANI YA CDM LAKINI KIATU CHAKE DAWA!

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.

KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
TUNDU LISSU
JOSHUA NASSARI
ROSE KAMILI
 
Watu hawana tatizo na uwezo wa Zitto katika kufanya siasa wala mwanzo wake wa kisiasa ndani ya CHADEMA bali watu hawamwamini tena kwa sababu zifuatazo:

1/Ubinafsi wake katika kufanya siasa(Anasahau kabisa kuwa CHADEMA ni taasisi na sio umaarufu wa mtu. eg Ubunge wa kina Kafulila, Machali)

2/Nyendo zake za siri za mawasiliano na ushirikiano na watawala.(eg. Ikulu, TISS, Pinda, JK)

3/Mikakati yake ya kupandikiza watu wake ili kushika nyanzifa za juu ndani ya vyama vya upinzani(eg. BAVICHA, NCCR)

4/Tamaa ya kukimbilia kutaka madaraka makubwa(eg. Uenyekiti wa CHADEMA, Urais, Ukuu wa kambi ya upinzani)
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema baniani mbaya kiatu chake ni dawa,binafsi si mtaalam sana wa kiswahili lakini msemo huu naona unatusaidia kuyatazama mahusiano na sintofahamu za mara kwa mara baina ya katibu mkuu mdogo wa chadema bwana zitto kabwe na chama chake kinachojipambanua(kwa jina tu)kama ni chama cha DEMOKRASIA pamoja na maendeleo kiujumla.

ZITTO KABWE kabwe ni kama vile amekua akitumiwa na watu wa chadema kama condom,kwa maana hutupwa baada ya matumizi yake kuisha.Nasema hivyo kufuatia mtitiriko wa matukio mbali mbali ambayo amekua akikumbana nayo mwanasiasa huyo kijana na machachari.ZITTO mara kwa mara amekua akiibua hoja nzito zinazoihenyesha serikali toka alipoingia bungeni for the first time kiasi cha kujipatia umaarufu mwingi hasa kwa wapiga kura vijana yeye binafsi zitto kama zitto na pia chama chake mfano katika bunge lililopita zitto hapa kwa kuepuka fitna nimtaje pia bwana slaa,kwa pamoja walifanya kazi nzuri sana bungeni kila mtu anafahamu,na hivi karibuni zitto tena aliiingisha serikali ya ccm mpaka kukaribia kuiangusha kwa kutishia kumng'oa waziri mkuu madarakani,japo lengo halikutimia lakini serikali ilitikisika na kuifanya chadema izidi kupata umaarufu kupitia mgongo wa huyu huyu zitto.

Lakini tatizo linakuja pale tu zitto kama mwanasiasa ambae kazi yake inaonekana kwa alama mbalimbali na sote tunaikubali hata kimoyo moyo tu anapotaka kujaribu kuomba ridhaa ya chama chake kugombea nafasi iliyo wazi ya kukiwakilisha chama chake kwenye nafasi ya mgombea urais au kujaribu kuomba nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama kilichomkuza,kuna watu hawapendi tena sio hawapendi awe mgombea urais basi,wao hawapendi hata afikirifikirie kuomba kupewa nafasi hiyo,wanajaribu kumziba mdomo kwa kila mbinu chafu na safi,wanamuonyesha kama mwanasiasa tamaa asieambilika wala kusikia la mkuu,hali hii inakera watu wengi waumini wa demokrasia ya kweli.kwanini zitto anakua mzuri tu wakati anapofanya kazi yake ya upinzani sawasawa kwa kuihenyesha serikali lakini anapotaka kutumia haki yake tena kwa njia halali kabisa kuna watu hawapendi?kwanini chadema imekua na inataka kuendelea kumtumia zitto kujipatia umaarufu wa kisiasa lakini haitaki zitto aombe nafasi ya kushika hatamu za uongozi au kuomba kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye urais?je kinahisi hana uwezo wa kushawishi?lakini mbona wengi wamejiunga na chadema kutokana na kazi nzuri ya zitto na bwana slaa pia huko nyuma?TAFAKARI,MWISHO WA SIKU UTAGUNDUA ZITTO BANIANI MBAYA NDANI YA CDM LAKINI KIATU CHAKE DAWA!

mleta uzi acha majungu hakuna mahali na wakati wowote viongozi na wanachama wa CDM wametoa tamko au maazimio ya kumzua zito asigombee uraisi

ni kwamba mchakato bado ukifika kuna utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama,

kama kuna tuhuma anazushiwa ni kwa sababu ya mienendo yake isiyoeleweka vizuri mara yuko kwa Jack zoka wa TISS, mara anaonekana kwa Rostam Aziziz anopokea bahasha mara yuko na JK wapiga Umbea,watu makini tunashindwa kumwelewa
 
bwana shilole huwa unasoma magazeti?soma hii kutoka kwenye gazeti la mbowe:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.

Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.

Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C

Source: Gazeti la freeman mbowe-Tanzania Daima

Umeandika kitu kinachopinga na nadhiri yako.Kweli wewe ni wassira type.
 
Watu hawana tatizo na uwezo wa Zitto katika kufanya siasa wala mwanzo wake wa kisiasa ndani ya CHADEMA bali watu hawamwamini tena kwa sababu zifuatazo:

1/Ubinafsi wake katika kufanya siasa(Anasahau kabisa kuwa CHADEMA ni taasisi na sio umaarufu wa mtu. eg Ubunge wa kina Kafulila, Machali)

2/Nyendo zake za siri za mawasiliano na ushirikiano na watawala.(eg. Ikulu, TISS, Pinda, JK)

3/Mikakati yake ya kupandikiza watu wake ili kushika nyanzifa za juu ndani ya vyama vya upinzani(eg. BAVICHA, NCCR)

4/Tamaa ya kukimbilia kutaka madaraka makubwa(eg. Uenyekiti wa CHADEMA, Urais, Ukuu wa kambi ya upinzani)

Unaweza kuthibitisha unayoandika au ndio habari za kimasaburi tu, umbea, chuki, choyo na uzazizabina. Kaa ufanye utafiti acha mbwembwe za kijinga mtu mzima huna hoja unarudia upuuzi wa kupika kwenye viwanda vya uongo
 
Watu hawana tatizo na uwezo wa Zitto katika kufanya siasa wala mwanzo wake wa kisiasa ndani ya CHADEMA bali watu hawamwamini tena kwa sababu zifuatazo:

1/Ubinafsi wake katika kufanya siasa(Anasahau kabisa kuwa CHADEMA ni taasisi na sio umaarufu wa mtu. eg Ubunge wa kina Kafulila, Machali)

2/Nyendo zake za siri za mawasiliano na ushirikiano na watawala.(eg. Ikulu, TISS, Pinda, JK)

3/Mikakati yake ya kupandikiza watu wake ili kushika nyanzifa za juu ndani ya vyama vya upinzani(eg. BAVICHA, NCCR)

4/Tamaa ya kukimbilia kutaka madaraka makubwa(eg. Uenyekiti wa CHADEMA, Urais, Ukuu wa kambi ya upinzani)

Hizo nyimbo tumesha zichoka na gazeti lenu la mwanahalisi wamesha liban kwi kwi kwi kwi naona hamna pa kutokea kubenea uko wapi!
 
Cdm hatutogombana kwaajili ya urais-Zitto
NA HII NI KUTOKA FACEBOOK PAGE YA ZITTO,ANASEMA HIVI:

''nasubiri kwa hamu kubwa mkutano wetu wa leo hapa karatu. jimbo ambalo CHADEMA imeliongoza vipindi vinne mfululizo. Ngome yetu haswa. Nitazungumzia Taarifa ya kamati ya ngwilizi, Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na ulazima wa kuiondoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na kutokomeza umasikini kwa kupambana na ufisadi na kukuza uchumi wa vijijini''.
mwisho wa kunukuu.

Madudu makubwa yamegunduliwa katika mradi wa maji wa KAVIWASU ...mwenyekiti wa mradi ambaye ni diwani wa chadema naye anafanya biashara ya kuuza maji. Double standards! ....
Uadilifu na uwajibikaji ni somo.

wakosoaji wa zitto mngependa zitto afanye nini labda muone anatosha?kwanini msiwaadame watu kama huyu diwani muuza maji kuliko kupambana na mtu ambae amekifanyia mengi chama kiasi cha kukipa umaarufu?acheni kumsakama zitto unless kama ipo ajenda ya siri au labda tatizo ni dini yake au kabila lake?
 
NA HII NI KUTOKA FACEBOOK PAGE YA ZITTO,ANASEMA HIVI:

''nasubiri kwa hamu kubwa mkutano wetu wa leo hapa karatu. jimbo ambalo CHADEMA imeliongoza vipindi vinne mfululizo. Ngome yetu haswa. Nitazungumzia Taarifa ya kamati ya ngwilizi, Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na ulazima wa kuiondoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na kutokomeza umasikini kwa kupambana na ufisadi na kukuza uchumi wa vijijini''.
mwisho wa kunukuu.

Madudu makubwa yamegunduliwa katika mradi wa maji wa KAVIWASU ...mwenyekiti wa mradi ambaye ni diwani wa chadema naye anafanya biashara ya kuuza maji. Double standards! ....
Uadilifu na uwajibikaji ni somo.

wakosoaji wa zitto mngependa zitto afanye nini labda muone anatosha?kwanini msiwaadame watu kama huyu diwani muuza maji kuliko kupambana na mtu ambae amekifanyia mengi chama kiasi cha kukipa umaarufu?acheni kumsakama zitto unless kama ipo ajenda ya siri au labda tatizo ni dini yake au kabila lake?
Kim Kardash wewe achana na CHADEMA, FUATILIA MASWALA YA UREMBO NAFIKIRI HUKO UTAWEZA
 
Mambo ya Kim Kardashian!Wapi Kanye West lol!
kim_kardashian5.jpg
 
Back
Top Bottom