CHADEMA yazindua operesheni twanga kotekote

Nimeipenda hii...Twanga mpaka kijijini kwangu Bujugo,hupo juu sana 2Proud a.k.a Mr2

Twanga kotekote had kwangu,RUBALE-anakozaliwa karamagi the great.Rweye waambie wakitoka kwako waunganishe kwangu.twanga mr 2,
 
Hahahahaaha chadema mnachekesha hivi mwanachama anapatika kwa ushawishi wa Mr Two nae sana kua chizi kabisa! Kweli hiyo ni twanga pepeta!
 
Am just impressed na jina la operation....TWANGA KOTEKOTE........Duh inabidi ufafanuzi kidogo hapa maana kwa sisi wengine mitafsiri kibao ubongoni

All in all, all the best Mbilinyi, wakati wanahangaika kujivua magamba sie TUNAWATWANGA KOTEKOTE
 
Hii nimeipenda, mkakati mzuri sana hongera zake Mr2, natamani wabunge wengine wa cdm wafike hadi huko vijijini wajenge matawi badala ya kusubiri msimu wa uchaguzi.
Natoa rai kwa cdm makao makuu kuwawezesha akina mr2 kwa kuwatengea sehemu ya ruzuku ili wamudu gharama za usafiri.
 
Hii ndiyo yenyewe na sina budi kuikaribisha TWANGA KOTEKOTE ifike hata hapa kwe2 Arusha kwa vijana wenye ari na CDM! Tupo mamia ya VIJANA TWANGA KOTEKOTE mpaka kieleweke mwaka 2015. Na nafikiri ni mwanzo tena mzuri kwa chama che2 CDM na ile chama cha NEC nafikiri tujuana nao vizuri. TWANGA KOTEKOTEEEEEEEE!!
 
asante mungu kwa kuileta chadema duniani.twanga kote kote baba.twende kazi
 
Safi sana sugu moto kwenda mbele wakati wanahangaika na magamba sisi tuanachanja mbuga. Hayo magamaba lazima yawazike.
 
Hii Slogan nimeipenda, imekuja wakati muafaka....its so impressive! Ningewashauri sasa muwatengezee vijana na tshirt zenye huo ujumbe mtawa-win sana. Twanga Kote Kote!
 
bravo sugu peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss:israel:
 
hongera sana, lakini mbona sijawahi kusikia jambo kama hili lindi, mtwara, ruvuma, morogoro, dodoma, iringa na pwani hasa maeneo ya vijijini.

kila siku nasisitiza hili kwasababu nataka mwamko nchi nzima na sio vipande vipande.
hakikisheni pia kila m/kiti wa mkoa na kila wilaya ina gari moja walao kwa kuanzia
ili waweze kuwafikia wananchi wote na pia kuandaa wagombea wa 2014 na madiwani na wabunge wa 2015.
ninasema hivyo kwasababu kila wakati napita huko vijijini na nimeona matatizo yanayowakabili niliowataja hapo juu.

katibu wa wilaya newala aliniomba niwafikishie huu ujumbe viongozi na wanachama wa chadema kwa ujumla.
na anzeni nae kwasababu kule cuf ina nguvu kiasi lakini bado anapambana.

naomba kuwakilisha.
 
Safi kabisa.Tunataka ubunifu wa namana hii.wakati wenzetu wakijichanganya wenyewe na kuvua gamba sisi tunakuja na mbinu kama milioni kumi.
 
Back
Top Bottom