- Thread starter
- #21
Ili kuipenya zanzibar chadema wanahitaji propaganda ya juu sana na hii ni kati ya propaganda hiyo kwamba inakubarika zanzibar wakati ukweli haikubariki.
Angalia vizuri kiswahili chako ama tumia kamusi mkuu wangu
Ili kuipenya zanzibar chadema wanahitaji propaganda ya juu sana na hii ni kati ya propaganda hiyo kwamba inakubarika zanzibar wakati ukweli haikubariki.
Hivi huyu Mwita Waitara anajua anachoongea au na yeye analipukua tu kama Magamba?! Hivi anajua technology and cost ya kufanya DESALINATION of Ocean/sea water?
Ndiyo Zanzaibar imezungukwa na maji lakini yale ni maji ya chumvi. Hata nchi zilizoendelea kama Japan haithubutu kufanya desalination of ocean water for domestic use insteady wametafuta vyanzo vinginevyo vya kupata maji ambayo siyo ya chumvi.
Anataka kuwadanganya wana Uzini kwamba CDM ikipewa dola itaweza kufanya desalination of ocean water kuondoa tatizo la maji?
Ama kweli all politician are alike. Ujinga wa wana Siasa tuukate out right, vinginevyo hata sisi wasomi tutaonekana bogus!
mfalme wa 16 unaumwa kifaduro!hivi unadhani dr na mwenyekiti kazi yao ni kampeni tu??? Unaumwa wewe!
Suala la Uzini na chadema linakuzwa wakati chadema haina jeuri ya kutamba znz, siasa za maji taka.
IKIWA ni wiki ya lala salama ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la uwakilishi la Uzini, visiwani Zanzibar, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kimefanya mikutano 68 ya kumnadi mgombea wake, Ali Mbarouk Mshimba.
Hatua hiyo inatokana na chama hicho kufanya mikutano minane ya hadhara kila siku ili kuhakikisha jimbo hilo linatua mikononi mwake pamoja na kuwafikia wananchi wengi.Ni wazi kuwa chama hicho sasa kinatishia vyama viwili vya CCM na CUF na upo uwezekano mkubwa wa CHADEMA kunyakua jimbo hilo.
Katika mkutano uliofanyika kwenye Shehia ya Pagali, kada wa CHADEMA, Mtera Mwampamba, aliwataka vijana kujiepusha na kasumba ya kubebwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye mikutano yake kwa ahadi ya kupatiwa ajira.
Mwampamba alisema badala yake vijana hao wanatakiwa kukumbuka walichofanyiwa katika uchaguzi mkuu uliopita baada ya kubebwa na kupelekwa kisiwani Pemba ambapo wengi wao walirudi na vilema na wengine kupoteza maisha.
Aliwataka vijana hao wasiwe na ugonjwa wa kusahau kiasi hicho, kwa kuwa hadi leo kati ya hao waliopelekwa, hakuna hata mmoja aliyepata ajira.
Naye, Ofisa Mwandamizi wa Utafiti na Sera wa CHADEMA, Mwita Waitara, aliwataka wakazi wa Uzini kutosita kuitosa CCM, kwa kuwa katika miaka 48 iliyokaa madarakani hakuna maendeleo iliyowafanyia.
Akitolea mfano alisema Uzini leo isingetakiwa kukosa huduma za maji ukizingatia kwamba Zanzibar pembe zote imezungukwa na maji, pia jimbo hilo halina shule wala zahanati, pamoja na kufahamika kuwa ndilo la pili katika harakati za kuleta mapinduzi.
SOURCE:TANZANIA DAIMA
[/QUO

Kumbe source ni gazeti la uhuru la CDM
Utahangaika sana mkuu lakini jimbo linaenda Chadema
Uzuri wa jimbo hilo wapiga kura hawazidi 5000 kwa hiyo kura zinajulikana hata kabla ya uchaguzi
Naona makamanda wote waandamizi wamekimbia kuanzia Padre na Mbowe na wengine wamemwacha Waitara na Mwampamba.
Ok kufanya mikutano mingi sio kigezo cha ushindi. Kwani kikubwa kinachotakiwa na kukubalika kwa sera zenu na itikadi zenu.
Je Chadema mnatosha Znz kutokana na kauli zenu majukwaani na Bungeni kuhusu Znz na waZnz?
Majibu ni kwenye kisanduku cha kura.
Tuvute subra.
padri slaa na dj mbowe wamepakimbia kule
inawezekana jimbo moja zanzibar ni sawa na kitongoji cha Tanganyika. yaani jimbo zima hamna shule wala zahanati!?. haiwezekani.
Acha kudanganya watu kwa kukariri mambo, Japan hawajashindwa bali hawajaamua, haiingii akilini Japan washindwe and then Cyprus waweze.
padri slaa na dj mbowe wamepakimbia kule
Cyprus doing desalination of ocean water for domestic and industrial use?! You're making yourself a laughing stock!.
Tatizo lako you can't read between the lines. Mimi sijasema Japan wameshindwa. Japan wanaweza, they have the technology and money. The question here is it cost effective? ingawa wana plenty of ocean water? Ndipo linakuja suala la vyanzo mbadala vya maji ambayo sio ya chumvi!
Ninaomba Hydrologists kama mpo humu muwasaidie hawa CDM because wakishika dola wanaweza wakaja na white elephant projects kama hili la kufanya desalination of ocean water Watanzania wote tukaoneakana mapoyoyo. Bora hata mvua ya EL ya Thailand kuliko hizi njonzi anazoota Mwita Waitara!