CHADEMA yazidi kusuasua Arusha

Zile ripoti alizokua anaziandika gerald kwenda kwa dr. slaa zimemuuma sana lema ndio maana akawaagiza kina lukumay na tarimo kumdhuru gerald,
 
uko chooni mkuu pole

Pole sana hujui ulisemalo,watu kama nyie ndio mnaliletea Taifa hili hasara nahisi wewe ni mmoja wapo waliupata zero kwenye mitihani ya 4m4 iliyopita kama sio mmoja wapo basi umeenda shule lakini bado haijakusaidia,Karibu tena na kisimu chako cha mchina.Gamba mkubwa wewe
 
Nafikiri ww hautoki Arusha huwa unapita ukielekea Singida au ulifika wakati unakwenda kwa babu Lliondo ukalala pale Sheikh Amri Abeid kwenye Land Cruiser then uliporudi ukapitia Makuyuni kurudi kwenu. pole sana.
 
Kanda ya Kasikazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibu, Kanda ya Kusini -- CCM msahau milele.

Uhai wenu kiasi umebakia Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Pwani.

acha kutusemea watanzania wewe ongea kwa nafsi yako kanda ya ziwa haitabiriki kwanza usituchokoze.
 
Chadema imebaki skeletoni. Kujaribu kuzuia hoja kwa mbinu za kigaidi na kutoa maoni ya watu kwenye mitandao ili isisomwe maana ukweli na uhakika utawaumbua. What a democracy?? Tutasema kweli daima fitina kwetu mwiko. Chadema is not for tanzanians. Ni mtandao wa conservative union
 
acha kutusemea watanzania wewe ongea kwa nafsi yako kanda ya ziwa haitabiriki kwanza usituchokoze.
sawa mkuu, hata mgonjwa mahututi hujipa moyo kwamba atapoana, tena akikwambia anataka chipsi ukiwa mtu mzima wa hekma basi utawajulisha ndugu ili kuandaa maturubai.
 
naona magamba wamehamua kuwafungulia accounts ili muendelee kupost uhororo wenu, tafuteni mada zenye mashiko mzilete hpa tujadili,
shvat shvine
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.

Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.

Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.
 
Back
Top Bottom