Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yazidi kusuasua Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by stroke, Apr 3, 2013.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2013
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 6,967
  Likes Received: 838
  Trophy Points: 113
  Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.

  Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.

  Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.
   
 2. y

  yaahamad Member

  #2
  Apr 3, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe magamba huna jipya unatumika kama condom ccm haina ubavu wa kuichukua arusha
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 9,325
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 48
  Kanda ya Kasikazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibu, Kanda ya Kusini -- CCM msahau milele.

  Uhai wenu kiasi umebakia Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Pwani.
   
 4. m

  majebere JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3,990
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 63
  Tatizo lenu mnafikiria ni CCM tu, Arusha inaweza kubebwa na mwingine sio lazima CCM
   
 5. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2013
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 6,967
  Likes Received: 838
  Trophy Points: 113
  Chadema ni kama vile msimu wa mvua, soon kitakuja kiangazi, tutakisahau milele
   
 6. L

  Lamusumo JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nlitegemea hii hoja inatoka kwa neutral person kumbe mkuu stroke unatoka ccm
   
 7. B

  Bugomba JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 18
  habari ya mjini ni nauli za daladala mabasi treni kupanda bila mishahara ya wafanyakazi kupanda
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 15,578
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 113
  By mwezi ujao tutakuwa na uchaguzi wa madiwani katika kata 4 hapa arusha mjini na hapo ndio mtajua kuwa chadema huwa hatuhitaji kupamba kwa bendera bali vitendo vya nguvu ya umma vitaongea.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. I

  Ichobela JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 18
  CHADEMA ni chama cha matusi, yawezekana Mwigulu akawa ni mwanachama wa CDM, Lusinde nae ni CDM. Mtoa uzi nahisi hakufanya research bali kaandika mawazo yake na uhitaji wake. But the reality wala hakuhitaji kuumiza kichwa saana, CCM Arusha ni sawa na kupeleka UDP Zanzibar! Ni mawazo yangu tu ndugu yangu Stroke!
   
 10. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2013
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 6,967
  Likes Received: 838
  Trophy Points: 113
  sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi
   
 11. saronga

  saronga JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 910
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Kama lilivyo jina lako stroke hata ubongo wako pia ni stroke. Mbona hamuitishi uchaguzi wa madiwani kama kweli CHADEMA imechokwa hapa Arusha?? tangazeni uchaguzi wa madiwani ndipo mpate cha kusema, otherwise jifungie chumbani kwako na mumeo umpatie kiburudisho chake upate akili.
   
 12. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2013
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,715
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 83
  Fikra za alinacha, wafuatiliaji wazuri wa siasa wsnajua bila shaka kwamba, fujo zote na mauaji yote yanayotokea kwenye mikutano ya Chama kubwa Chadema yanaratibiwa na chama kinachokwenda kufa Ccm. Hapo mlipo mko Icu. Kama mnabisha tusiandikie mate, waambieni hao watendaji wenu wa Ccm tume ya uchaguzi watangaze uchaguzi wa madiwani hapo mtaelewa kama Chadema no mvua ya msimu au ni upepo wa sunami, jaribuni kwa hilo ndo muongee.
   
 13. m

  majebere JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3,990
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 63
  Lakini mbona Lema ameanza kustaarabika? Msimuangushe jamani, nendeni nae hivyo hivyo mpaka ajirekebishe kabisa. Siku hizi ameibukia mropokaji mpya, mzee Slaa.
   
 14. N

  Noboka JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2013
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,028
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38

  Eeeeeh, umeona kuwa kumbe CCM hakuna kitu, binafsi nakubaliana na wewe, si lazima CDM, ila kikichukua chama kingine nje ya CCM, powa tu! hapa kikubwa ni kuondokana na huu mzimu CCM, ingawa kwa Arusha nadhani bado ni mapema mno kusema kuwa 2015 CDM itafutika pale
   
 15. m

  majebere JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3,990
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 63
  Kwani Lwaka na Ludo ni wanaCCM? wao si ndio masniper wa CDM.
   
 16. L

  Lamusumo JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipimo cha ukweli wa unachosema ndugu stroke ni uchaguz wa madiwani.
   
 17. m

  majebere JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3,990
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 63
  Mimi binafsi naona ni sawa tu wapinzani kuchukua AR,cha muhimu kiwe chama cha amani na sio wapenda fujo kama CDM.
   
 18. saronga

  saronga JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 910
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Na yule kandarasi diwani aliyesababisha vifo vya zaidi ya watu 20 pale Dar ni CDM? yule diwani wa huko Kagera mwenye kikundi cha mauaji bila shaka naye mtasema anatoka CDM kwa jinsi mlivyo na fikra mgando. Rama wa magogoni naye ni CDM, si ndo manake?? hata yule chizi mkenya mnaweza kumpatia kadi ya CDM ili mhalalishe uozo wenu wa kukipaka matope CDM. Mtakesha sana kuiombea CDM matatizo lakini mwisho wa siku mtaishia kupata aibu.
   
 19. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona unajifariji baada ya kuona nchi inayoyoma mwaka 2015, CCM haina jipya zaidi ya propaganda kama hizi zisizo na msingi.
   
 20. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2013
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,291
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 48
  zanzibar na pemba bado kuna harufu ya ccm ila kufika 2015 wakuwa wameshabadilika
   

Share This Page