Safi.....na mimi naomba nirudie tenaRIP katibu mwenezi
Tanzania Daima hawezi kuandika hiyo habari wewe utakuwa umetumwa!
Tafuta gazetiTanzania Daima hawezi kuandika hiyo habari wewe utakuwa umetumwa!
Katibu mwenezi wa CDM Wilaya ya Kilosa Bw. Raymond Mlama pamoja na mjumbe mmoja wameamua kuhamia ccm kwa kile walichoeleza kuwa wameona ina sera zinazoridhisha na kuwalenga wengi.
Source: Tanzania Daima